barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Yap, tena south kama niko sahihi.Hii Boeing ilikuwa ya kukodi
Yap, tena south kama niko sahihi.Hii Boeing ilikuwa ya kukodi
Ndio, wewe unaonaje??So you mean kama nchi hatuwezi kusimamia BOEING! Hahaaa!
Sababu ya kushindwa hiyo ya juu ni sawa na kushindwa kwa mashirika mengine ya umma! Mfano, Reli, TTCL, Viwanda vya nguo n.kShirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Bado hujajibu swali langu.Povu la nini??
Wewe unafikiri ipi tulitakiwa tuanze kuimiliki na mpaka sasa ipi tunatakiwa kuimiliki kwa kuzingatia uwezo wa nchi yetu??
Kama tuliweza basi ndege hiyo/ hizo zingekuwapo mpaka sasa, alafu kumbuka kuwa zile air Tanzania za rangi nyeupe zilikuwa za kukodi.Bado hujajibu swali langu.
Pia kama uwezo wa nchi ulikua Mkubwa hapo zamani alafu kwa sasa uwezo ni nchi ni mdogo ni dhahiri tumerudi nyuma hatua 100 na kujipongeza.
dah.......Ya zamani
![]()
Ya sasa
![]()
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
Mmeshaambiwa mara nyingi kwamba ndege kubwa zina gharamankubwa sana kuziendesha na hazitui viwanja vidogo. Hao wenye hizo kubwa wenyewe (fastjet) wameshatangaza kuzirudisha na kuchukua ndogo....Aaagr...mnakera na nyieTumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!![]()
Shirikisha na ubongo wako mkuu, watu wanapiga Billion 300 na upumbavu na haulizwi mtu yeyoteShirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Nielimishe please,nielimishe mkuu!kwa akili yako ni kuwa kutoka kuwa na Boeing 737 200 mpaka kwenye bombaider dash q400 ni kurudi nyuma hapo??
kama hujaenda shule na ukatoa comment kama hii sikushangai?
kama wewe ni graduate na ukatoa comment kama hii nakushangaa

Usiwe mbishi, jiulize swali jepesi, kwa nini kampuni binafsi na ya nje FASTJET hapa Tz wanalalamika gharama za uendeshaji boeings zao??Shirikisha na ubongo wako mkuu, watu wanapiga Billion 300 na upumbavu na haulizwi mtu yeyote
Watu hawataki kuambia ukweli kwahivyo mwambie tuko mbele zaidi miaka 50 tunapokea ndege aina ya bombardier Q400Bado hujajibu swali langu.
Pia kama uwezo wa nchi ulikua Mkubwa hapo zamani alafu kwa sasa uwezo ni nchi ni mdogo ni dhahiri tumerudi nyuma hatua 100 na kujipongeza.
Wakikujibu unijulishe mkuuKwanini wanaimwagia maji?
Nimecheka sana mkuuUtamaduni wakati wa kuikaribisha ndege mpya.
Sisi kule kwetu tukiua kijindege kama hicho huwa hatuli,tunakitupa au tunampa paka mkuu!Kwikwiikwiii kijindege

Ebu google WATER CANON SALUTATION, utapata jibu sahihi.Nimecheka sana mkuu