barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Acha uvivu, ingia GOOGLE, fanya comparison.Nielimishe please,nielimishe mkuu!![]()
Acha uvivu, ingia GOOGLE, fanya comparison.Nielimishe please,nielimishe mkuu!![]()
Kwahiyo kama ulianguka, ukainuka kuanza moja unatakiwa usipewe moyo??Ahsante chief. Yaani watu wanakua mashabiki tuu hata kwenye mambo ya msingi kisa tumbo.
Hivi ishu yenu ni SIZE au jina BOEING au neno JET ENGINE??Watu hawataki kuambia ukweli kwahivyo mwambie tuko mbele zaidi miaka 50 tunapokea ndege aina ya bombardier Q400
Gharama kubwa?Kuiendesha IPTL siyo gharama kubwa?Mbona IPTL tunaiendesha kwa gharama kubwa sana especially sasa hivi ambapo tanesco wameamuriwa na mahakama kuwalipa na tupo kimya???.....Suala lenye maslahi kwa taifa tunasingizia ni gharama kubwa ila issue za kifisadi kama IPTL tunapiga kimya!!Mmeshaambiwa mara nyingi kwamba ndege kubwa zina gharamankubwa sana kuziendesha na hazitui viwanja vidogo. Hao wenye hizo kubwa wenyewe (fastjet) wameshatangaza kuzirudisha na kuchukua ndogo....Aaagr...mnakera na nyie

Watanzania ni washanmba kweli ati mmechora twiga hehe...mnafurahia na hii ndege inakaa imetoka madagascarYa zamani
![]()
Ya sasa
![]()
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
Zamani usukumani ukinunua basi, likifika nyumbani linaoshwa na maziwa ya ng'ombeUtamaduni wakati wa kuikaribisha ndege mpya.
Ukizeeka utazidi kua kijana eeeh, ama?Tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!![]()
Bila kujua kwanini ulishindwa utaenda mbele kichwakichwa kama BWEGEItasadia nini kuangalia kwanini tulishindwa.? tumerudi nyuma full stop
mshamba hio ni display ceremonyKwanini wanaimwagia maji?
Google ni watu kama wewe![]()
![]()
!!.......
Ndo waliko huko kuwa kila kitu gharama wamesahau Richmond gharama ambazo tulikuwa tunalipa..!Gharama kubwa?Kuiendesha IPTL siyo gharama kubwa?Mbona IPTL tunaiendesha kwa gharama kubwa sana especially sasa hivi ambapo tanesco wameamuriwa na mahakama kuwalipa na tupo kimya???.....Suala lenye maslahi kwa taifa tunasingizia ni gharama kubwa ila issue za kifisadi kama IPTL tunapiga kimya!!![]()
Mlishalimaliza magufuli anawanyanyua bado hamshukuru. Binadamu ni hatari. Hakukuwa na airtanzania tena mpaka huyu Baba kaianzisha. Huwezi kumanage millioni bile kuanza na elfu kumi. Miaka kumi tutakuwa na hayo makubwa msihofu. Baada ya miqka kumi Majaliwa tutampa Nchi nae ataongeza makubwa zaidi mpqka tuwe kama ET kwa miaka 20. Shukuru kwa kidogo ulichonacho. Safari moja huanzisha nyingine. Hiyo ndiyo kule kwetu tunaiita start overTumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!![]()
Issue jiangalie majirani zako mashirika yao ya ndege yako vipi?... kisha jiulize unashindwa nini.?Hivi ishu yenu ni SIZE au jina BOEING au neno JET ENGINE??
ninachokijua mimi HATA INZI AKIACHA KUPENDA HARUFU ZA KINYESI ANAWEZA KUTENGENEZA ASALIYa zamani
![]()
Ya sasa
![]()
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
Ya zamani
![]()
Ya sasa
![]()
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
Usijali mkuu hata hiyo ya juu ilianza kama kama ya chini ni muda tu Mayo itanenepaTatizo ya sasa ni nyembamba sana