Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Naona haya maana tuna viwanja vya maana lakini ndege tuliyonayo ni sholwe.
 
Wantazania bana pangaboi zaidi ya demokrasia ya kweli machozi machozi machozi.
 
Kabla ya kusifia ndege mpya au ya zamani, kwanini wanachangisha madawati? Pesa za ndege zingenunua madawati zaidi ya laki 2!!

Nyumbu zinashangilia ndege ilhali hospitali hakuna chanjo ya pepopunda. Na zinginezo.

Mi sijui nani anashauri hao wanaotawala. Ndege inalipiwa cash wakati kuna watu hawajalipwa madai yao hapohapo Atcl na kwenye utumishi wa umma.

Ni sawa na kijana alieanza kazi halafu ananunua gari (hata kama ni baby walker haili sana mafuta) ili nae aonekane anamiliki gari.

Wanasahau kabisa ukishakosea vipaumbele ndo unakaribisha mabalaa. Hiyo midege siipandi asilani (labda iwe ndo aina pekee ya usafiri ulobaki na ni lazima nisafiri wakati huohuo) maana kila nikiwa humo ndani ntakumbuka watoto wanaokaa chini bila madawati na watu wanaokosa chanjo za pepopunda.

Ufahari uko wapi ikiwa unajisifia ndege na huna madawa? Ikipata dharura hao watu unawatibia na nini?

Sitapongeza hili la ndege.
Kumbuka kabila ya mfalme kwanza kisha utajua kwa nini kaanza na ndege.Huenda ilikuwa ni ndoto ya tangu utoto kuwa akiwa mkubwa lazima anunue ndege.
 
Hii nchi ina ndege nyingi sana. Sijui umetoa wapi hiyo dhana kuwa walikua na ndege moja.

Walioondoka wameongeza idadi ya ndege nchini. Huyu wa kufanya malaika wawe mashetani kunakila dalili atazipunguza. Naagiza popcorn kabisa
Usisahau kuagiza na karanga maana hii movie inahitaji ukimya.
 
Mlishalimaliza magufuli anawanyanyua bado hamshukuru. Binadamu ni hatari. Hakukuwa na airtanzania tena mpaka huyu Baba kaianzisha. Huwezi kumanage millioni bile kuanza na elfu kumi. Miaka kumi tutakuwa na hayo makubwa msihofu. Baada ya miqka kumi Majaliwa tutampa Nchi nae ataongeza makubwa zaidi mpqka tuwe kama ET kwa miaka 20. Shukuru kwa kidogo ulichonacho. Safari moja huanzisha nyingine. Hiyo ndiyo kule kwetu tunaiita start over
Asante kwa kuelekeza fikra zako upande mmoja.
 
Bila kubadilisha AKILI hii iliyokuja itakufa na hata wakiletewa helicopter nayo itakufa tuu.
 
Back
Top Bottom