Ndege huwa inaongozwa vipi angani?

Ndege huwa inaongozwa vipi angani?

Ili ndege iruke (take off) kuna vitu vitatu Muhimu, cha kwamza ni Speed (take off speed) cha pili ni Mabawa (wing) ambayo husaidia ndege kupaa (lift) na cha tatu ni Mashine (Engine thrust) ambazo huchukua hewa mbele na kuirudisha nyuma kwa kasi kitendo hicho husababisha ndege kwenda mbele (thrust)...Ndege inarukaje kitoka ardhini..Rubani anapopewa clearence toka kwa Air traffic control, huanza kuondoka kwa kasi (acceleration) ili kuweza kufikia take off speed, ndege inapofikia take off speed (TOS) au B2, Rubani hurudisha nyuma Control Stick, kitendo hiki hufanya mabawa madogo (flaps) kunyanyuka juu na kufanya upepo kuyalazimisha yarudi chini, kitendo hiki husababisha Pua ya ndege kunyanyuka juu kwa vile engine za ndege kwa wakati huo zipo kwenye maximum rotation, zina provide maximum thrust na kuisukuma kwende uelekeo wa pua ya ndege ulipoinuka, na hapo hapo upepo mwingine unaopita kwa kasi chini ya mabawa ya ndege huifanya ndege ianze kuelea na engine za ndege huisukuma kwenda juu, ndege inapaa....
Pia ieleweke kuwa ndege inapokuwa angani hukalia hewa kwa msaada wa mabawa yake, na kwa vile ipo speed, ndege inapopunguza speed sana chini ya kiwango husababisha upepo unaopita chini ya mabawa kuwa mdogo, na hivyo mabaya yanashindwa kutoa lift kubwa kwa ndege na ndege huingia kwenye kitu kinachoitwa kwa kitaalam.. Aero-Dynamic-Stall, yaani ndege hupoteza lift na kuanguka kama Jiwe...mara nyingi hutanguliza Pua.....eg ajali za Ethiopia Air line, Air France nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro... We ni fundi...

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahaha. Hapa umemchanganya kabisa... atajuta kuuliza. Bora angekaa kimya... mita moja yenyewe hajui urefu wake. Ndo umwambie dunia ina diameter ya mita milioni 13... hahahahahah...bravo kwa ndugu yetu Bravo320 kwa kutupa manondoz ya kutosha.. lazma atakua pilot wa bombadier au A320 huyu. Hongera sana mkuu.
tusichukuliane poa mkuu! hesabu ya darasa la tano inishinde? niulize swali lolote kuhusu Geograph!
 
Shukrani mkuu kwa Elimu murua kabisa...kuna ajali moja mbaya iliwahi tokea Air Russia na DHL...ziligongana kwa sbb traffic control alikosea kutoa maelekezo...sijaelewa maana hizi ndege si huwa zinaruka kulingana maelekezo wanayopewa kabla ya kuanza safari kwamba wataruka kwa futi kadhaa?msaada hapo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeshasema air traffic control alikosea kutoa maelezo,msaada gani tena unataka ?
 
Dah...Dogo...kinachokuchanganya wewe ni ukubwa wa uwiano wa mpira na rula...
Ndege Boeing 737 ina urefu wa mita 38 hivi....Dunia ina kipenyo cha mita 13milion hivi.. nusu ya mzingo wa dunia utakaribia urefu wa mita 22 milion...umbali kutoka Dar - Mwanza ni mita laki 8 hivi...
Sasa chukua hizo uwiano wa urefu wa ndege, urefu wa safari Dar Mwanza (rula) na urefu wa nusu mzingo wa Dunia (mpira)....kisha vitie kwenye mawazo yako ya mpira na rula uone muinuko wa unavyokuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
labda hukunielewa! rula nilimaanisha kuwa ruban akimaintain direction nini kitatokea! mmoja ashajibu kuwa ruban huwa anafeed height ambayo ndege inatakiwa isafir kutoka usawa wa bahar!!
 
Mkuu kila ndege hupewa Altitude yake kutoka sea level, ili kuepusha kugongana hewani, na rubani kama atahitaji kuhama altitude kutokana na either kukwepa hali mbaya ya hewa ni lazima aombe na kupewa ruhusa na ATC, ajali za kugongana hutokea mara chache na hutokana na Navigation system ya ndege kuharibika au Sensor za ndege kutoa false information kwa Flight control computer ya ndege, na kusababisha ndege kuonyesha inaruka altitude fulani kumbe siyo, na kugongana na nyingine,
kingine kuna Humans error, kama huyo ATC kukosea kutoa information sahihi au za kutatanisha, au rubani wakati mwingine wakati wa manual Pilot anaweza akajisahau kuangalia altimeter na ndege ika desend na kutoka kwenye level flight yake na kugonga nyingine...
Shukrani mkuu kwa Elimu murua kabisa...kuna ajali moja mbaya iliwahi tokea Air Russia na DHL...ziligongana kwa sbb traffic control alikosea kutoa maelekezo...sijaelewa maana hizi ndege si huwa zinaruka kulingana maelekezo wanayopewa kabla ya kuanza safari kwamba wataruka kwa futi kadhaa?msaada hapo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ndege iruke (take off) kuna vitu vitatu Muhimu, cha kwamza ni Speed (take off speed) cha pili ni Mabawa (wing) ambayo husaidia ndege kupaa (lift) na cha tatu ni Mashine (Engine thrust) ambazo huchukua hewa mbele na kuirudisha nyuma kwa kasi kitendo hicho husababisha ndege kwenda mbele (thrust)...Ndege inarukaje kitoka ardhini..Rubani anapopewa clearence toka kwa Air traffic control, huanza kuondoka kwa kasi (acceleration) ili kuweza kufikia take off speed, ndege inapofikia take off speed (TOS) au B2, Rubani hurudisha nyuma Control Stick, kitendo hiki hufanya mabawa madogo (flaps) kunyanyuka juu na kufanya upepo kuyalazimisha yarudi chini, kitendo hiki husababisha Pua ya ndege kunyanyuka juu kwa vile engine za ndege kwa wakati huo zipo kwenye maximum rotation, zina provide maximum thrust na kuisukuma kwende uelekeo wa pua ya ndege ulipoinuka, na hapo hapo upepo mwingine unaopita kwa kasi chini ya mabawa ya ndege huifanya ndege ianze kuelea na engine za ndege huisukuma kwenda juu, ndege inapaa....
Pia ieleweke kuwa ndege inapokuwa angani hukalia hewa kwa msaada wa mabawa yake, na kwa vile ipo speed, ndege inapopunguza speed sana chini ya kiwango husababisha upepo unaopita chini ya mabawa kuwa mdogo, na hivyo mabaya yanashindwa kutoa lift kubwa kwa ndege na ndege huingia kwenye kitu kinachoitwa kwa kitaalam.. Aero-Dynamic-Stall, yaani ndege hupoteza lift na kuanguka kama Jiwe...mara nyingi hutanguliza Pua.....eg ajali za Ethiopia Air line, Air France nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia kwa spidi fulani iliyowekwa kwa kila ndege ndiyo ita maintain huo mruko na kwa kuipunguza kiasi ndipo itaweza kuteremka polepole hadi kutua tena ardhini
 
Mfumo wa ndege
Ndege ni tofauti na mfumo wa gari kama ulivyo.
Matairi ya ndege hayazungushwi na mashine yaani engine kwa kutumia driving shaft kama gari lilivyo...
Ndege inapotembea chini hutumia mfumo wa kuvuta hewa na kuirudisha nyuma kwa kasi na yenyewe huenda mbele kwa kutumia (Thrust)..
Ndege haina Gia kama gari, engine za ndege zikishawashwa ndege inaanza kuondoka kwenda mbele rubani huizuia kwa kukanyaga break isiondoke..
Ndege inatumia kitu kinaitwa Throttle, throttle ni kitu kama fimbo rubani akikipeleka mbele mzunguko wa engine huongezeka na thrust huongezeka na speed ya ndege huongezeka kwenda mbele.. (Hii ndio accelator ya ndehe) ukirudisha nyuma speed inapungua..
Ndege haikati kona kama gari ikiwa ardhini, ila hutumia mfumo wa caterpillar la minyororo au Kifaru cha kijeshi kukata kona, yaani rubani akitaka kukata kona kulia akiwa ardhini, huzuia kwa Break matairi ya nyuma ya upande wa kulia na ndege huzunguka kuelekea kulia na hivyo hivyo vice versa kukata kwenda kushoto..
Ndege ikiwa angani hukata kona kwa kutumia kitu kinaitwa Radar kipo mkiani mwa ndege, Radar ni kipande cha bati ambacho huelekea kulia na kushoto kulinnga na rubani anataka kuelekea wapi, anapotaka kuelekea kulia ata kata steering kulia Radar kule nyuma itaelekea kulia? Upepo ukisukuma lile bati ndege itaelekea kulia.. na vilevile vice versa kuelekea kushoto
.......yapo mengi kwa leo inatosha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri niifikishe salama hii ndege,kisha nije kukuelezea mambo yanavyokuwa
 
Bado mjajibu xwali la pili kuhuxu "" kama dunia ni duara je ukiwa angan na ndge ukaenda straight line je uwezi kuiacha dunia""" mfano weka rula juu ya chungwa kwa ulalo
 
Kama uliweza kusoma kwamba dunia ni mviringo, naamini mambo ya longitude na latitude unafununu nayo. Pia kuna nguvu ya uvutano ya dunia inayovuta vitu kuelekea kati kati ya dunia ndio maana ukaambiwa ukirusha kitu juu, lazima kitarudi chini.

Ndege inapoanza safari, inaruka juu ikiongeza zaidi uelekeo wa wima hadi kufikia kimo kitakachofaa ili ianze safari yake kuelekea inapotarajia kwenda kutua, itakapofika huko itashuka. Kama inaenda umbali mrefu, itaenda juu zaidi, kwa safari ya karibu, haiendi kimo kirefu sana juu.

Ndege za kawaida hazina uwezo wa kuzifanya ziishinde nguvu ya uvutano wa dunia zitoke nje ya eneo lake, vifaa maalum vinavyoenda sayari zingine vina nguvu na huo uwezo.

Kwa muktadha huo, kimo au umbali gani ndege itaenda juu inategemea na masafa ya umbali wa safari yake. Na kwenye ndege kuna vifaa vya kuonyesha makadirio ya vipimo sahihi kutokana na umbali wa safari husika.

Umewahi kujiuliza kitu gani kinamjulisha rubani kwamba aanze kuishusha ndege kwa kuwa mmekaribia kiwanja mnachotarajia kutua?
Bado haujamwelewa muuliza swali

Sent from my EVA-L09 using Tapatalk
 
Kwa kifupi ndege kabla haijaruka angani hupewa umbali wa kuruka kwenda juu na waongoza ndege (Air traffic control) umbali huu hupimwa kwa futi (feet) kutoka usawa wa bahari na rubani huwa ana feed kwenye computer ya ndege, umbali huu, ikiwa ni pamoja na speed na uelekeo wa ndege (Direction) anakokwenda. Rubani anapobonyeza Auto Pilot, ndege hufuata maelekezo hayo bila kukosea na kuifanya ndege iendelee ku maintain umbali ule ule, hivyo hata kama dunia ni duara kwa kuwa ndege inasafiri angani kwa umbali uleule toka usawa wa bahari itaendelea kuzunguka na dunia kwa usawa uleule, ku maintain usawa huu ni muhimu ili kuepusha ndege kugongana kwani kila moja hupewa usawa wake, na pia huepusha ndege isipotee, vilevile kila ndege imetengenezwa na umbali wake wa mwisho kwenda juu angani (Altitude ceiling) ndege inaporuka juu kama inakwenda mwezini (Outer space) ikifikia ile Maximum ceiling haiwezi kuendelea zaidi ya pale, itaingia kwenye Aero-Dynamic-Stall, itakosa lift na kuanguka..na pia umbo la ndege pia linaundwa kuvumilia Pressure kwa ceiling yake, ijulikane kuwa kila unavyozidi kwenda juu, pressure inazidi kuwa kubwa, hivyo ndege ikipita kwenye ceiling yake ita katika katika haiwezi kustamili..na kwa kawaida Rubani huwa anawatangazia abiria umbali ambao ndege yao itasafiri kutoka usawa wa bahari (eg 35,000 feet) from sea Level

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu!

Sent from my EVA-L09 using Tapatalk
 
Dah...Dogo...kinachokuchanganya wewe ni ukubwa wa uwiano wa mpira na rula...
Ndege Boeing 737 ina urefu wa mita 38 hivi....Dunia ina kipenyo cha mita 13milion hivi.. nusu ya mzingo wa dunia utakaribia urefu wa mita 22 milion...umbali kutoka Dar - Mwanza ni mita laki 8 hivi...
Sasa chukua hizo uwiano wa urefu wa ndege, urefu wa safari Dar Mwanza (rula) na urefu wa nusu mzingo wa Dunia (mpira)....kisha vitie kwenye mawazo yako ya mpira na rula uone muinuko wa unavyokuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Dah hapa kama ulikuwa unatoa somo basi ni kama hivi kwenye picha chini
tapatalk_1551858406060.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu kwa Elimu murua kabisa...kuna ajali moja mbaya iliwahi tokea Air Russia na DHL...ziligongana kwa sbb traffic control alikosea kutoa maelekezo...sijaelewa maana hizi ndege si huwa zinaruka kulingana maelekezo wanayopewa kabla ya kuanza safari kwamba wataruka kwa futi kadhaa?msaada hapo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Language barrier husababisha marubani wasiojua kienglish na waongoza ndege wasiojua kutamka maneno vzur hasa wahindi husababisha kutoelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege yoyote huenda kwa plan( flight plan) ambayo umuongoza pilot ni wapi na kimo gani apite juu ambapo hapa ndo jibu la swali lako linapotokea. Tafadhari kuwa makini kwenye hii point
Kuna pilot control na auto pilot control, hapo kwenye pilot control huongozwa na rubani ambapo hapa huweza maintain height na speed kutokana na flight plan inavyomwelekeza, kwahyo hata kimo kikizidi au kupungua inabidi afanye juhudi za maintain.
Kwenye auto pilot control mambo yote ni automatic na sio rahisi ndege kupoteza kimo chake
NOTE: Height(kimo) ni kipimo cha urefu kutoka usawa wa bahari kwahiyo ndege haiwezi poteza mwelekeo na kuacha dunia kama unavyofikiri
 
labda hukunielewa! rula nilimaanisha kuwa ruban akimaintain direction nini kitatokea! mmoja ashajibu kuwa ruban huwa anafeed height ambayo ndege inatakiwa isafir kutoka usawa wa bahar!!
Rubani akiacha ku maintain altitude aka height above sea level, ndege itaendelea kupanda angani na hatimaye itafika kwenye kikomo chake cha kuruka angani aka flight ceiling, na mwishowe engines zitashindwa ku produce thrust na mabawa yatashindwa kuiweka ndege angani sababu kutakuwa hakuna hewa ya kutosha to produce lift pressure chini ya mabawa. Ndege itaanguka tu. Haiwezi kutoka nje ya earth's atmosphere sababu huko hakuna hewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom