Ndege huwa inaongozwa vipi angani?

Ndege huwa inaongozwa vipi angani?

Kwa kifupi ndege kabla haijaruka angani hupewa umbali wa kuruka kwenda juu na waongoza ndege (Air traffic control) umbali huu hupimwa kwa futi (feet) kutoka usawa wa bahari na rubani huwa ana feed kwenye computer ya ndege, umbali huu, ikiwa ni pamoja na speed na uelekeo wa ndege (Direction) anakokwenda. Rubani anapobonyeza Auto Pilot, ndege hufuata maelekezo hayo bila kukosea na kuifanya ndege iendelee ku maintain umbali ule ule, hivyo hata kama dunia ni duara kwa kuwa ndege inasafiri angani kwa umbali uleule toka usawa wa bahari itaendelea kuzunguka na dunia kwa usawa uleule, ku maintain usawa huu ni muhimu ili kuepusha ndege kugongana kwani kila moja hupewa usawa wake, na pia huepusha ndege isipotee, vilevile kila ndege imetengenezwa na umbali wake wa mwisho kwenda juu angani (Altitude ceiling) ndege inaporuka juu kama inakwenda mwezini (Outer space) ikifikia ile Maximum ceiling haiwezi kuendelea zaidi ya pale, itaingia kwenye Aero-Dynamic-Stall, itakosa lift na kuanguka..na pia umbo la ndege pia linaundwa kuvumilia Pressure kwa ceiling yake, ijulikane kuwa kila unavyozidi kwenda juu, pressure inazidi kuwa kubwa, hivyo ndege ikipita kwenye ceiling yake ita katika katika haiwezi kustamili..na kwa kawaida Rubani huwa anawatangazia abiria umbali ambao ndege yao itasafiri kutoka usawa wa bahari (eg 35,000 feet) from sea Level

Sent using Jamii Forums mobile app
Great!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati inaanguka haiwezi ku mantain tena height yake? Kwasababu iliipoteza kwakuzidi kwenda hewani.
Rubani akiacha ku maintain altitude aka height above sea level, ndege itaendelea kupanda angani na hatimaye itafika kwenye kikomo chake cha kuruka angani aka flight ceiling, na mwishowe engines zitashindwa ku produce thrust na mabawa yatashindwa kuiweka ndege angani sababu kutakuwa hakuna hewa ya kutosha to produce lift pressure chini ya mabawa. Ndege itaanguka tu. Haiwezi kutoka nje ya earth's atmosphere sababu huko hakuna hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vipo kinadharia sana na tumekalilishwa hivyo. Utata wa haya yote ni kutokana na shape ya dunia ilivyo ndio maana maswali kama haya yanakuwepo, kwa mfano tungefundishwa kuwa shape ya dunia ni kama mfuniko wa ndoo ya rangi swali kama hili solingekua lakijinga tuu.

...Fafanua mtizamo wako Mkuu...!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati inaanguka haiwezi ku mantain tena height yake? Kwasababu iliipoteza kwakuzidi kwenda hewani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndege itashindwa kubaki angani aka stall sbb ya kukosa lift pressure chini ya mabawa. Engines za ndege zitakufa sababu hakuna oxygen ya kutosha kuunguza mafuta na kutengeneza nishati ya kuipeleka ndege mbele. Ndege itaanguka na kulipuka.
 
poleni na majukumu wakuu! wakati nasoma nilifundishwa kuwa dunia ni oblate sipheriod kwa maana ina umbile la mviringo. Leo nimepata swali kichwani mwangu, je ndege ikipaa angani na kuanza safari, pilot akiinyosha kwa maana ya kuto kupanda juu au kwenda chini ndege haiwezi toka nje ya dunia ( chukua rula ilaze juu ya mpira utaelewa nini na maanisha) karibuni!
Ili kutoka kwenye orbit unahitaji kwenda kwa velocity (kasi ya juu sana) ili uvuke ile orbit (hivyo ndio sattellite au rocket za kwenda kwenye sayari nyingine zinavyofanya..... Refer mtu mmoja anaitwa Kepler na sheria zake kwa ufasaha zaidi, binafsi nishatupa haya makabrasha na kusahau by the way dunia unaamanisha nje ni wapi na ndani ni wapi usijekuwa unadhani tupo (tukirudi kwenye mpira) ndani ya ngozi ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom