bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
poleni na majukumu wakuu! wakati nasoma nilifundishwa kuwa dunia ni oblate sipheriod kwa maana ina umbile la mviringo. Leo nimepata swali kichwani mwangu, je ndege ikipaa angani na kuanza safari, pilot akiinyosha kwa maana ya kuto kupanda juu au kwenda chini ndege haiwezi toka nje ya dunia ( chukua rula ilaze juu ya mpira utaelewa nini na maanisha) karibuni!