Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Tatizo sio matumizi mabaya ya kodi, tatizo ni uwepo mbovu wa aliye juu.
 
Nijifunze nini wakati huko ndio nakoshinda wanatumia budget kubwa sana kwenye michezo shida yenu mmedumaa nenda hapo Madrid Stadium yao ukajifunze kitu pana tour pale kila siku unalipia kwa kuingia na kuangalia museum yao ni €21 tuu...
Umeishia darasa la ngapi broo?
 
Umeishia darasa la ngapi broo?
Daah wewe umeishia la ngapi mkuu kwenye watu wasomi mtawekewa cha juu zaidi ya 50Billioni harafu unataka kujifanya msomi na upo kimya? Kwa nini ninyi Elimu zenu za hapa hapa mnajifanya kuongelea Elimu wakati wote wakati hamna kitu...
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
WEWE NI CHUKI TU NA WIVU VINAKUTESA
 
Umasikini ni Ugonjwa aisee upo busy na ndege utadhani sijui kitu gani mkisoma huo umasikini kwenye damu hauwezi kutoka wenzetu wameendelea hivyo vitu zinafanya Club Boss...
Kwahiyo Air Tanzania ni ndege ya club? Wewe si umesema Ulaya wanafanya hivi, mara hii tena unasema Ulaya wanatumia ndege za club, hiyo ni akili ya mtu huyohuyo au kuna anayekusaidia.
Ndege sio zenu Faza mambo ya Nyerere hayo achana nayo mna ndege ninyi sema Kipasso changu au Land Cruiser yangu watu hatujamaliza miguu ya kuwa na magari mazuri mmejipa umiliki wa ndege kisa mlipakiwa rangi na Mwalimu Nyerere...
Hapa umetumia akili za kuoshea vyombo wewe mwenyewe hujui hata umeandika nini. Sijui ulikuwa umelewa
 
Kwahiyo Air Tanzania ni ndege ya club? Wewe si umesema Ulaya wanafanya hivi, mara hii tena unasema Ulaya wanatumia ndege za club, hiyo ni akili ya mtu huyohuyo au kuna anayekusaidia.

Hapa umetumia akili za kuoshea vyombo wewe mwenyewe hujui hata umeandika nini. Sijui ulikuwa umelewa
Mngekua mnajadili vitu vya muhimu kama watu wanalipa Kodi harafu hizo kodi zinapigwa nyingi tuu CAG anaibua hayo madudu na Bunge linasita kujadili ninyi mpo na Petty issue za ndege kusafiri na Yanga watu wamepiga zaidi ya 50billion kwenye manunuzi ya ndege na Rais kaongea wazi nianze kuzungumzia 300m ntakua nina matatizo aisee tutumie Elimu zetu vizuri hata kama mmezipata kwenye shule za vidumu na mfagio yaani Taarifa ya CAG mnaona kama Urembo tuu na kuja na hoja za kitoto...
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya
Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo
safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Mechi ya yanga na USM Alger ilitazamwa na mashabiki wangapi dunian? Je hatujapata milage kwa watu kuijua Tanzania hivyo kuvutia watalii! Kwenye jezi ya Simba kuna visit Tanzania je unajua faida za kiuchumi Tanzania inapata?
Tusiwe walalamishi
 
Kwani ni lini hospitali zetu ziliwahi kuwa na madawa??Nikumbushe!!
 
Ni Nani mlipa Kodi amenunua hyo ndege ? Hii nchi hakuna mlipa Kodi hii , nchi inaendeshwa Kwa mikopo hii na misaada ... Kodi mlilipa kipindi cha Maghufuli na kazi ya Kodi mliiona
Magu ni Rais aliyekopa kuliko maraisi woooote, usitudanganye kuku wewe
 
Usitusemeee sisi! Jisemee mwenyewe, mbona mi npo kawaida na maisha yangu yanasonga
Kama huna akili utampinga mtoa mada,ila yupo sahihi!!
Tanzania ilikuwa nanmashirika mengi ya umma na yalikufa Kwa mambo kama haya yanayoendelea Kwa shirika la Ndege!!!
 
Nilishasema hizi motisha za serikali ziwe zinatolewa kwa wanamichezo wa timu za taifa, hivyo vilabu ni kampuni binafsi zina wafadhili ambao wanalipa mishahara na kutoa motisha mbalimbali kwa wachezaji wao.
 
Back
Top Bottom