Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

Nchi inatangazwa kupitia Soka kama zilivyo Nigeria na Nchi zingine shida bongo mnaaminj mkisoma sayansi kimu na kufundisha ndio maisha kumbe michezo nayo ni sehemu sahihi ya watu kufanikiwa kwenye maisha na wakitoka hawabahatishi ni vile sisi tuko nyuma sana...
Je Brazil, Argentina, n.k zilifanyaga hivi ndo zikatoboa?
 
Ni Nani mlipa Kodi amenunua hyo ndege ? Hii nchi hakuna mlipa Kodi hii , nchi inaendeshwa Kwa mikopo hii na misaada ... Kodi mlilipa kipindi cha Maghufuli na kazi ya Kodi mliiona
 
Sio Waafrika wote sema Waafrika wenye akili za kimasikini ni Laaana ya vizazi na vizazi hao hata kuishi maisha bora kwao ni dhambi hata wakiwa na huo uwezo...wana laana ya asili ambayo ipo kwenye damu
Mkuu nakwambia hivi Uafrika ni LAANA wala hakuna cha tajiri wala maskini ngozi nyeusi ina laana
 
Acha wenge wewe

Usikute mtoa post upo Kwa shemeji Yako ......ata Kodi hujui zinavyolipwa

Wananchiiiiiii ndio walipa Kodi
 
Je Brazil, Argentina, n.k zilifanyaga hivi ndo zikatoboa?
Mkuu wanatumia hela nyingi kuliko unavyodhania hao Brasil mpira wanaona kama Dini hapo Bueno waneweka Sanamu ya Messi uliza gharama yake kiufupi mpira una gharama kubwa kwa sababu ni biashara kubwa ikianza kulipa unaona wakina Eto wanaweza kujenga miundombinu kwao kwa sababu wamefanikiwa huku Serikali ndio inaingia kuwekeza kwa sababu TFF hawana mbinu yeyote mbadala au nenda SA tuu hapo uone uwekezaji kwenye Mpira ninyi mnazungumzia juice na safari za ndege za Mbeya...
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Hiyo ndege ni daladala iliyochangamka
 
kama wanalipa nauli, yaani anayeamuru iende analipa nauli, hatuna tatizo, hiyo ni biashara. shida ni pale unawezaona ni maelekezo makavu, kwahiyo badala ya kufanya biashara inakula hasara tu. hiyo ni ndege yetu, sio ya kiongozi fulani, ni ya kwetu. unatoa ndege kwani ya kwako? haya mambo tuyakatae.
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Ndege utafikiria ni uber yani kila uchwao imebeba mapopoma wetu
 
Nijifunze nini wakati huko ndio nakoshinda wanatumia budget kubwa sana kwenye michezo shida yenu mmedumaa nenda hapo Madrid Stadium yao ukajifunze kitu pana tour pale kila siku unalipia kwa kuingia na kuangalia museum yao ni €21 tuu...
Ujerumani nako serikali ya Scholz inatoa ndege ya Lufthansa mwezi mzima kwenye matumizi uchwara ya kubeba mashabiki, maiti na kupeleka Bayern Munich ikacheze dhidi ya Werder Bremen?

Uingereza nako Rish anatoa ndege ya British Airways ikabebe runners wa ligi ya Europa?

Ufaransa mkuu wa Airforce alifunguliwa mashtaka kwa kutumia ndege ya kijeshi kujiendesha mwenyewe kwenda mji wa nyumbani kwake, ndio unatuambiwa wana akili za kimaskini kama za kwetu sisi hapa.

Ndege zetu zinapiga hasara tangu zimenunuliwa hadi leo alafu zinatolewa kumbeba Le Mutuz superbrand na bado mnaona kawaida. Hii nchi ingekuwa ni kiungo cha binadamu ingekuwa matako, hata uyakalie vipi hayaumii
 
Umasikini ni Ugonjwa aisee upo busy na ndege utadhani sijui kitu gani mkisoma huo umasikini kwenye damu hauwezi kutoka wenzetu wameendelea hivyo vitu zinafanya Club Boss...
 
Ujerumani nako serikali ya Scholz inatoa ndege ya Lufthansa mwezi mzima kwenye matumizi uchwara ya kubeba mashabiki, maiti na kupeleka Bayern Munich ikacheze dhidi ya Werder Bremen?

Uingereza nako Rish anatoa ndege ya British Airways ikabebe runners wa ligi ya Europa?

Ufaransa mkuu wa Airforce alifunguliwa mashtaka kwa kutumia ndege ya kijeshi kujiendesha mwenyewe kwenda mji wa nyumbani kwake, ndio unatuambiwa wana akili za kimaskini kama za kwetu sisi hapa.

Ndege zetu zinapiga hasara tangu zimenunuliwa hadi leo alafu zinatolewa kumbeba Le Mutuz superbrand na bado mnaona kawaida. Hii nchi ingekuwa ni kiungo cha binadamu ingekuwa matako, hata uyakalie vipi hayaumii
Ndege sio zenu Faza mambo ya Nyerere hayo achana nayo mna ndege ninyi sema Kipasso changu au Land Cruiser yangu watu hatujamaliza miguu ya kuwa na magari mazuri mmejipa umiliki wa ndege kisa mlipakiwa rangi na Mwalimu Nyerere...
 
Duh
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Nobody
Usitusemeee sisi! Jisemee mwenyewe, mbona mi npo kawaida na maisha yangu yanasonga
Sawa nyingi si watu wa Msoga gang na remote mnatembea nayo! Kuleni asali iko siku mtacheua!
 
Habari wadau.

Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!

Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!

Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!

Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya

Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k

Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.
Unateseka ukiwa wapi ?
 
Chuki na Yanga huna lolote kila mtu aliepewa kapewa kwa sababu maalum.....ukiona vipi hamia Rwanda
 
Back
Top Bottom