Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

Milioni 500 kila jimbo ndani ya miezi sita ngoja tufanye mahesabu.
Majimbo zaidi ya 264.
264x500=132,000,000,000Tsh
Inawezekana.
 
Sifa nyingine bana sijui lengo lake ni nini?
 
Ni kweli kafanya vizuri kwenye mavitu vitu, ila suala la HAKI, UTAWALA BORA na UTAWALA WA SHERIA anahitaji kuwekeza nguvu ili afikie 99.9............% ya ubora
Asante kwa ushauri wako bila shaka ataupokea na kuufanyia kazi
 
Ninachojua, 2025 kutakuwa na mtafutano.
 
Ivo vituo walivyosema wamejenga mbona mpaka leo hatujapewa ajira acheni udomo kaya
Mwezi wa sita kulikuwa na ajira za afya na wenzako wako kazini kama hukubahatika kupata piga moyo konde subiri zamu yako kwenye ajira zinazokuja
 
Kizuri chajiuza, kibaya kinajitembeza .....haina haja kutumia msuli kumuelezea sana,ukiingia mtaani utapata majibu
 
Maraisi wajinga zaidi kuongoza JMT ni wawili na wote wametokea kisiwani😂😂😂😂
 
Kimya kimya kwenye civil projects! Hakuna cha kuonyesha bali tunaonyeshwa namba tu? Hata kama mwendazake alikuwa kichaa, alikuwa anaonyesha vitu tangibly; hakuwa anaonyesha makusudio ila alikuwa anonyesha miradi iliyokamilika au miradi inayoendelea kukamilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…