Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,223
- 2,953
Yaani huyu Mzee Bora alavokufa ziki tupu Tuu angetuua wengi Kwa kupukitisha uchumi biashara nyingi taabani.
Saizi mtaani kuna kanafuu kidogo na miradi ilivyo mingi ya Serikali by December mtaa utachangamkaYaani huyu Mzee Bora alavokufa ziki tupu Tuu angetuua wengi Kwa kupukitisha uchumi biashara nyingi taabani.
Kwa hiyo world bank walisema tumeingia uchumi wa kati wakati uchumi unadorora?Nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.
Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.
Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.
Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.
Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .
View attachment 1836795
Umesahau umeongelea maziwa tuu .ngombe watoa maziwa umewasahau malisho yaoWewe ni mtu wa ajabu, Uchumi ulianguka na kudumaa zaidi ndani ya miaka 5 iliyopita,sasa hivi ndani ya siku 100 investors confidence kwa mama ni kubwa na wameanza ku inject pesa za kuzidi.
Ukweli ni kwamba Uchumi wa mama utakuwa na mafanikio kuliko Marais waliopita hususani kwenye mageuzi ya Afya, elimu,maji na miundombinu.
Kwa kuanzia tuu umeona ajira za kuzidi,watumishi kulipwa pesa zao na kupandishwa madaraja, serikali imetenga pesa za kuzidi kwenye barabara hasa Tarura,Umeme,Afya na Elimu huku miradi ambayo ilimshinda mwendazake ikiendelea kutekelezwa.
Sijui wewe ndugu Uchumi wa makaratasi ni upi.
Unaelewa maana ya kudorora? Uchumi was growing as usual but not to the previous figures,kudorora ni no growth at all yaa -ve growthKwa hiyo world bank walisema tumeingia uchumi wa kati wakati uchumi unadorora?
Usilinganishe wananchi wa Nigeria kuwa kwenye taifa sema dogo kiuchumi kwa mantiki yako basi hilo taifa waliopo wana Nigeria lina uchumi mkubwa kuliko wanageria. Hicho ni kichekesho cha mwaka na kuonyesha hujui kupambanua mambo, sijui uelewa wako upoj
Acha uvivu, jaribu ku Google tu upate taarifa za hali ya kiuchumi ya wananchi wa Nigeria. Huo uchimi mkubwa nipesa za watu binafsi wanao miliki visima vichache vya mafuta.Usilinganishe wananchi wa Nigeria kuwa kwenye taifa sema dogo kiuchumi kwa mantiki yako basi hilo taifa waliopo wana Nigeria lina uchumi mkubwa kuliko wanageria. Hicho ni kichekesho cha mwaka na kuonyesha hujui kupambanua mambo, sijui uelewa wako upoje.
Hakuna watoa maziwa waliosahaulika,shida ya wabongo ni ufinyu wa uelewa.Umesahau umeongelea maziwa tuu .ngombe watoa maziwa umewasahau malisho yao
Investor confidence my ass! Upuuzi mtupu, Hayo aliyafanya sana Kikwete lakini wapi! Mwisho wa siku akatengeneza mianya ya ufisadi wa kutupwa! Swali ni moja tu! Tanzania iliingia top 10 uchumi bora Afrika awamu ya ngapi? Tanzania imeingia uchumi wa kati awamu ipi?Wewe ni mtu wa ajabu, Uchumi ulianguka na kudumaa zaidi ndani ya miaka 5 iliyopita,sasa hivi ndani ya siku 100 investors confidence kwa mama ni kubwa na wameanza ku inject pesa za kuzidi.
Ukweli ni kwamba Uchumi wa mama utakuwa na mafanikio kuliko Marais waliopita hususani kwenye mageuzi ya Afya, elimu,maji na miundombinu.
Kwa kuanzia tuu umeona ajira za kuzidi,watumishi kulipwa pesa zao na kupandishwa madaraja, serikali imetenga pesa za kuzidi kwenye barabara hasa Tarura,Umeme,maji,Afya na Elimu huku miradi ambayo ilimshinda mwendazake ikiendelea kutekelezwa.
Sijui wewe ndugu Uchumi wa makaratasi ni upi.
Naongea na mtu timamu au mpumbavu,kwa hiyo kwa akili yako ya kuendeshea chooni Serikali itatoa wapi kodi? Sikujibu tena seems naongea na mpumbavuInvestor confidence my ass! Upuuzi mtupu, Hayo aliyafanya sana Kikwete lakini wapi! Mwisho wa siku akatengeneza mianya ya ufisadi wa kutupwa! Swali ni moja tu! Tanzania iliingia top 10 uchumi bora Afrika awamu ya ngapi? Tanzania imeingia uchumi wa kati awamu ipi?
RUTO atoshaaaaa!! Wameanza kumpiga vita pamoja na kumsaidia Uhuru kuingia Ikulu!Hivi Uhuru Kenyatta akiondoka Kenya watapata kiongozi mzuri kama huyu kweli?
Kweli kabisa Mkuuwametumia kipimo cha GDP yaani thamani ya uzalishaji wa nchi na haihusiani na ubora wa maisha wa wananchi husika. Ndio maana hapo huoni nchi ndogondogo zenye population ndogo ambazo zipo chini kiuzalishaji kutokana na udogo wao
kama wakitumia kipimo cha Human Development Index (HDI) ambacho hupima ubora wa maisha ikiwemo huduma za kijamii, usijeshangaa hata Nigeria isiwepo 10 Bora
Hii listi inawalakini . Bado Tz ipo Kwenye 10Nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.
Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.
Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.
Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.
Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .
View attachment 1836795
Weka source yakoHii listi inawalakini . Bado Tz ipo Kwenye 10
Weka source yako
Uchumi wa nchi sio uchumi wa rais, huenda sisi tunaongoza kwa umskini wa watuKumbe Tanzania tunaipita mapaka Tunisia na Libya? Sa mbona maisha yetu ni tofauti na wao?
Uwe unasoma mada ukaelewa sio unakurupuka,hizo takwimu zako ni za 2020 sio 2021 ambazo mimi nimewekaList of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Ukitaka kupata takwimu sahihi Nenda world bank au imf.Uwe unasoma mada ukaelewa sio unakurupuka,hizo takwimu zako ni za 2020 sio 2021 ambazo mimi nimeweka
Katiba mpya ndio inaleta GDP? 😄😄😄😄 Toka jf nenda road ukadai Katiba mpya.TANZANIA haijawahi kuzishinda hizo nchi kwa GDP miaka ya hivi karibuni!
Katiba mpya ni ya lazima sio ombi!