Gaijin,
..nazungumzia mabalozi kuwasilisha HATI ZA UTAMBULISHO kwa raisi wa ZNZ. i have not seen that yet.
..halafu kwanini hakuna balozi kamili aliyeko stationed ZNZ, wote wanakuwa ni mabalozi wadogo wakati balozi mwenyewe yuko D'Salaam??
..kuhusu kauli ya Pinda vs Kikwete, hapo sasa inabidi uchanganye na zako. utumie weledi wako kujua nani anasema ukweli kati ya hao wawili kulingana na katiba yetu.
..maelezo kwamba suala la passport lilitokana na hofu ya usalama kwa waZNZ ni maelezo yaliyotolewa na Mwalimu miaka ya 60. sasa hivi hakuna ulazima wa passport na suala hilo lilishasitishwa.
..kuhusu muungano wa TGK na ZNZ msimamo wangu unaeleweka wazi. muungano ambao hakuna kuheshimiana na kuthaminiana kama ndugu sidhani kama unatufaa.