Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

Mkuu sio wakenya tuu wanatuzarau mpaka Watanzania tunajidharau. Juzi mama Maria Nyerere kasema watz bado sana na akatolea mfano eti mtoto wa kikenya ukimpa 500 anaendakunywa maziwa na wanapata lishe bora ndio maana wametuzidi watoto wetu ukimpa 500 anaenda kunywa soda alafu Hakuna lishe bora tunajenga taifa la wajinga kwani Hatuna hata elimu ya lishe bora na mbaya zaidi hata iyo lishe bora Hakuna which is true sasa je na yeye mama Maria Nyerere katudharau au ndio fact?

that is just bullshit..Kenyans are hated because of their hateful attitude, their arrogance, they think they are America whilst Tanzania is burundi..Kenya is developed? You must be outta of your mind. Kenya is as poor as most other countries..You per capita is like 850$, with high food costs, etc..more Kenyans are in need of basic food security than the people in South Sudan. Come back when you have an economy like South Africa to brag about. Come back when your northern region is developed, come back when you don't kill yourselves with machetes..

who the **** told you we wanna see Kenya as our role models? People who are tribalists and arrogant sons of pricks becoming role models? Couldnt choose a role model who was worse.

Kenyans i got few words for you..stay in your m-****ing country and dont come to Tanzania.
 
Bure kabisa, hii ni propaganda. Wacheni ukora. Kenya hakuna minister mujinga kama Mulugo wa Tanzania. Na huyo Mashaka yenye mnajisifia siyo raia wa Tanzania ni mutu wa Burundi. Bila Kenya hakukuwa kama alivyo ile munaona yeye kuwa na maakili. Mudomo yake yenye kutukanana na wakenya. Kenya ndio imemfundisha ndio maana mnaona yeye ni cleaver sana. Sisi pia tutaanza rebutal naye
hi, Nairobian umekuwa na hasira saana , kwa kile unachofikiria kuwa Mashaka na Mulugo, wanawapotosha watanzania wenzao, wewe uanaonaje, Tanzania kuna ardhi itakayowafaa wana nchi wa EA au hakuna, unaonaje Tanzania ndiyo sehemu ambayo kila raia wa EA, atajiona kuwa huru, kuliko eneo lingine au la, watanzania wanaubaguzi ,wapi? kuna ubaguzi EA kuwa muwazi kisha tujadili.
 
Mawazo ya kijima haya. Kwa hiyo ili nchi iendelee lazima iwe ' blessed' na Israel? CHINA imepata lini hizo baraka, mbona inakaribia kuipita US soon? Mawazo yenu ya kupakatwapakatwa yaishie hukohuko mnakodanganyana msilete jamvini kwa wanaume!

Mimi siwashangai sana hawa jirani zetu, wapo brain washed, sababu ushindi wa obama kwa nchi yake marekani wao walifanya mapumziko ya kitaifa kwa siki kama mbili hivi. Najiuliza wa amerika, au obama amewasaidia nini wakenya leo?
 
hi, Nairobian umekuwa na hasira saana , kwa kile unachofikiria kuwa Mashaka na Mulugo, wanawapotosha watanzania wenzao, wewe uanaonaje, Tanzania kuna ardhi itakayowafaa wana nchi wa EA au hakuna, unaonaje Tanzania ndiyo sehemu ambayo kila raia wa EA, atajiona kuwa huru, kuliko eneo lingine au la, watanzania wanaubaguzi ,wapi? kuna ubaguzi EA kuwa muwazi kisha tujadili.
Mimi siko na hasira yoote. Kama nyinyi ni wakweli, Ni minister gain kwa serikali ya Kenya ni mujinga kama mulugo?
Na huyo mashaka yen, Kama hakusoma kwa shule yetu, angekuwa ni brilliant hivyo katakana wakenya?
Huyo mash aka angekuwa mujinga Kama mulugo tu. Siyo hasira, hii ni facts
 
Mkuu sio wakenya tuu wanatuzarau mpaka Watanzania tunajidharau. Juzi mama Maria Nyerere kasema watz bado sana na akatolea mfano eti mtoto wa kikenya ukimpa 500 anaendakunywa maziwa na wanapata lishe bora ndio maana wametuzidi watoto wetu ukimpa 500 anaenda kunywa soda alafu Hakuna lishe bora tunajenga taifa la wajinga kwani Hatuna hata elimu ya lishe bora na mbaya zaidi hata iyo lishe bora Hakuna which is true sasa je na yeye mama Maria Nyerere katudharau au ndio fact?

Kuna rafiki yangu fulani alisema kuwa tatizo la watanzania ni kuwa tuna upendo sana na ni wapole kwa watu wengine..tunavumilia..sasa ndo maana unaona wakenya wanatudharau, wanadhani kuwa hata kama wakitudharau sisi hatutafanya kitu..Mimi naona bora tuwe wapole na wavumilivu na kulisha watu, kulio ko kuwa kama wakenya na kuwa wachoyo na wenye chuki na kuuacha watu wafe kwa njaa.
 
Mimi siko na hasira yoote. Kama nyinyi ni wakweli, Ni minister gain kwa serikali ya Kenya ni mujinga kama mulugo?
Na huyo mashaka yen, Kama hakusoma kwa shule yetu, angekuwa ni brilliant hivyo katakana wakenya?
Huyo mash aka angekuwa mujinga Kama mulugo tu. Siyo hasira, hii ni facts

Mukenya this is loud and clear..... Ohhh my goodness 1
 
Mimi siko na hasira yoote.
jfunze kwanza kuongea kikakamavu,maana wabongo hawakawii kukupakata
Kama nyinyi ni wakweli, Ni minister gain kwa serikali ya Kenya ni mujinga kama mulugo?
sio ma minister pekee,wakenya wote ni wajinga.1.mnauana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya kupigania wanasiasa, na wenyewe wana maisha mazuri wakikaa kuwatizama kwenye tv wanawacheka hahahaha! 2.watu watano wana miliki ardhi ya nchi nzima na nyinyi mnakaa mnawaangalia tu bila kufanya chochote,na hamna sehemu ya kulima...njaa ikiwakuta mnakuja kutupigia magoti na sisi tunawasaidia mahindi tena mnagombania kama mbwa 3.mliweka siku ya mapumziko kusherekea kuapishwa Obama,wakati Obama alikuwa bize na kuwapeleka watoto zake shule hakuwa na habari na nyinyi na tabia zenu za kujipendekeza
Na huyo mashaka yen, Kama hakusoma kwa shule yetu, angekuwa ni brilliant hivyo katakana wakenya?
nimeshakutahadharisha kujilegeza unapoongea na wabongo
Huyo mash aka angekuwa mujinga Kama mulugo tu. Siyo hasira, hii ni facts
fact ni hapa

wakati watu wanakufa njaa kenya

njaa ke.jpg

dadaab_new_arrivals6.jpg

ke.jpg

wajanja wenu "wanasiasa" wanasherekea ushindi wa obama ambaye hana time na nyinyi

images.jpg
 
Mimi siko na hasira yoote. Kama nyinyi ni wakweli, Ni minister gain kwa serikali ya Kenya ni mujinga kama mulugo?
Na huyo mashaka yen, Kama hakusoma kwa shule yetu, angekuwa ni brilliant hivyo katakana wakenya?
Huyo mash aka angekuwa mujinga Kama mulugo tu. Siyo hasira, hii ni facts
pole saana mkuu Nairobian , niliona kama mtu mwenye hasira saaana, lkn umenithibitishia kuwa huna hasira,ila nilichobaini toka kwako, wewe ni mtu mwenye majivuno na gubu, maana unamshambulia Mashaka na Mulugo, na kumkejeli mashaka juu ya elimu yake aliyoipata nchini Kenya , na ndio maana wana jf wengine wanakusimanga kwa msaada wa chakula unaoletwa kenya toka TZ, najua si tabia ya WATZ kumsimanga mtu sababu ya chakula hii yote imesababishwa na wewe kumsimanga mashaka sababu ya elimu na hilo gubu la kurudia rudia mafanikio na elimu ya Mashaka, binafsi nimemsoma mashaka nimemuelewa na naona amesimama kwenye kweli, ila si maamuzi ya waTZ wala usiogope na usiogopeshe WAkenya wengine ,tunao wengi tunaishi nao, kwa upendo na amani khali ambayo tunajua kwenu ni vigumu saana kutokana na tabia zenu za umimi. karibu saana tz
 
hawa jirani zetu wakenya ni fact kwamba mara zote hawapendi maendeleo ya wtz,kitu kizuri cha wtz hawakitangazi ipasavyo,na wanapenda kujisifu sana kwamba wanajua,onyo wtz wanakuja kwa kasi ya ajabu na hatuwaogopi kwa lololte:israel:
 
Honestly and sincely out of political propagandas,we don't need you kenyan's,let's remain as good neighbor's but not political federation with you,well,it will remain on papers discussions only but don't expect any sereous implementation,whether MASHAKA John is Right or wrong to your perception,but as tanzanian's that move of uniting our country including land won't mature.
 
Siwapendi wakenya, kwanza aliyekwambia taz na burundi ndio least educated nani? Kwa taarifa yaki mtiririko ni kenya, tz,ugan rwanda and burundi, wakenya wenye pesa ni matatjiri wenye viwanda, tz kila mtu ananmiliki ardhi, tunajenga nyumba wenyewe, wakenya asilimia 70 ni wapangaji wa ardhi mpaka mashamba, kwa mfano huo utaona tz maskin wengi wanakipato kuliko kenya ambako kuna mafukara wakutuuuuupa
 
DUH! Umempa ukweli bila chenga. Umasikini wa Kenya ni balaa tena majority. Kumiliki ardhi ya 20 kwa 20 ni kazi. Tangu mtu anazaliwa mpaka vitukuu wanapanga ktk vi apartment vichafu, vimebanana! Loh! Polen
 
I visited several public primary schools in Kenya and I was surprised to find that most of the pupils were bare footed amidst of the country that boosts itself that "it is well developed". What the shame!
It does not add up to say that Kenyans are more educated than Tanzanians. Indeed, this is ballyhoos and imbicility. If Kenyans think they are more developed, more educated and more advanced than others why should they force others to enter union with them? To me, all east African countries are poor save that the difference is about investment. Kenyans prouding for their so-called development are myopic and megalomaniac. All most of firms Kenyans think are putting their country ahead of others in East Africa are owned by Foreigners not Kenyans. For instance, The Nation Company, it is owned by Agha Khan. Methinks, Kenyans need to know what development means and entails vis a vis their common mwananchi. Kenya leads all countries in East Africa when it comes to having a population of landless people. Again, Kenya just like other East African and African countries still depends on donor money. Where is the develpment some myopic and ignorant Kenyans are touting? Let us sit down and think about how to forge ahead instead of Better Thou while we are all poor and dependent on donors. It sickens to find that those cheating each other to be good neighbours and brothers and sisters are scheming to sabotage other in order to alleviate their poverty. Shame on all such bete noix.
 
Wakenya wasiwatishe Hawana lolote...Matajiri ni baadhi tu ya watu...
Mgawanyo wa Mapato ni mbovu kulinganisha na Tanzania...
Wananchi wao milo ya tabu....
Ardhi ya tabu...
Wanajifanya wanajua English lakini ki ukweli wanchoongea si English

Nyumba za mijini watu wanajisaidia nje (Hazina Vyooo)
 
Du afadhali mnatufumbua macho kumbe wako hoi tu! kazi kujisifu tu.Mimi nilidhani wako kama South africa au Namibia ingawaje huwa sina interest ya kwenda huko kenya.
 
Back
Top Bottom