Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

Gaijin,

..umeshaona Balozi wa nchi yoyote ile akiwasilisha hati za utambulisho kwa "raisi" wa Zanzibar??

..Pinda aliwaambia ukweli kwamba ZNZ siyo nchi, lakini kwasababu kwa miaka mingi mmekuwa mkidekezwa na nyie kubweteka mkadhani amekosea.

..kama kuna uraia wa ZNZ, nionyeshe passport ya nchi inayoitwa ZNZ iliyotolewa baada ya mwaka 1964.

..Nyerere aliwahi kuulizwa swali kuhusu wa-Tanganyika kuingia Zanzibar kwa passport. Swali hilo aliulizwa miaka ya 60 na Arcado Ntagazwa wakati huo akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi ktk mkoa wa Kigoma. Mwalimu Nyerere alisema walikuwa wanafanya hivyo kwasababu za KIUSALAMA.

..kosa lenu, au tatizo lenu nyinyi ni UBAGUZI, hicho ndicho kinachowasukuma kujitenga na kuukana Utanzania.

Mbona unakuja kwa hasira mkuu. Mada ni Kenya kuidharau Tanzania. Mara tupo kwenye Zanzibar na Tanganyika. Hizi drama zitakwisha lini?
 
Viongozi wa CCM wanavyotawala nchi utafikiri ni wakimbizi yaani siyo wazawa! Hawajali maslahi ya wananchi wala ya nchi. Wanakwiba pesa wanapeleka uswizi, wana abudu uwekezaji wa wazungu hata kama hauna manufaa kwa Taifa, wanalindana na kurithisha watoto wao madaraka kwa kuwatenga watoto wa watanzania wengine, wanaheshimu wageni kuliko wananchi wao, wana-ua waandishi wa habari na wananchi wanaotetea maslahi ya nchi, wanauza wanyama na kutokuwajibika kwa wananchi kwa ujumla. Nchi hii inahitaji mapinduzi ya kweli sasa!
 
Mbona unakuja kwa hasira mkuu. Mada ni Kenya kuidharau Tanzania. Mara tupo kwenye Zanzibar na Tanganyika. Hizi drama zitakwisha lini?
Zakumi,

..LOL!!

..hata sijui tumefikaje hapa!!

. Gaijin, what happened??

..Where did all this start?!!
 
Last edited by a moderator:
Gaijin,

..umeshaona Balozi wa nchi yoyote ile akiwasilisha hati za utambulisho kwa "raisi" wa Zanzibar??

..Pinda aliwaambia ukweli kwamba ZNZ siyo nchi, lakini kwasababu kwa miaka mingi mmekuwa mkidekezwa na nyie kubweteka mkadhani amekosea.

..kama kuna uraia wa ZNZ, nionyeshe passport ya nchi inayoitwa ZNZ iliyotolewa baada ya mwaka 1964.

..Nyerere aliwahi kuulizwa swali kuhusu wa-Tanganyika kuingia Zanzibar kwa passport. Swali hilo aliulizwa miaka ya 60 na Arcado Ntagazwa wakati huo akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi ktk mkoa wa Kigoma. Mwalimu Nyerere alisema walikuwa wanafanya hivyo kwasababu za KIUSALAMA.

..kosa lenu, au tatizo lenu nyinyi ni UBAGUZI, hicho ndicho kinachowasukuma kujitenga na kuukana Utanzania.

Hujaona mabalozi wadogo wakijitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufungua ofisi zao huko? Umeona wapi balozi wa nchi yoyote kwenda kujitambulisha rasmi kwa Mkuu wa Mkoa wa Songea?

Pinda kasema sio nchi, Bosi wa Pinda-Kikwete kasema nchi ndani ya nchi. Unataka raia amsikile Pinda wakati Bosi wake Pinda keshampinga?

Na hizo sababu za Kiusalama ni against Mtanganyika? Kama ni hivyo ndio dharau ya mwisho kabisa kuwa nimeungana na wewe but I don't trust you, kwangu wewe ni potential mhalifu kama nisiyeungana nae Myarwanda, Msumbiji na Mkaburu!

Sasa umeungana na mtu mbaguzi na ana"kulazimisha" wewe kuendelea kumueekea mazingira ya kuendelea na ubaguzi wake, nawe unakaa tu unakubali? Au ndio mahaba kwake yamekuwa makubwa hata akubague vipi unaendelea to feed her addiction?
 
Cyo wakenya tu jamani, ni nchi zote za jirani zinazoibukia kiuchumi.... but it doesnt matter to me, naipenda nchi yangu na ntaipenda daima. toka lini baba mwenye makundi ndani ya familia yake akaongoza familia yake vzr?hapa namaanisha hawa majirani zetu, ndani ya nchi zao, ukikatisha huku huachi kuckia wakikabana kejeli kwa ajili ya makabila, wananiboa, they dont like each other, ndo watakuja kutupenda watanzania?shame on them, kama ni maendeleo na wanataka kuinua nchi nyingine, mbona hawaizungumzi burundi?why tanzania?ni kwajili ya what we have...resources!!!! kama wao wanaringa ni kiingereza...let we proud with our land, why are they being bored with that, naamini, hv kuna nchi imekaa na wakimbizi kama tanzania, hv kuna nchi imewasaidia kupigania uhuru kama tanzania, why dont they c that? kweli mfadhili mbuzi..binadaam atakuudhi!!! naaamini tunaweza, its just the matter to decide and c, viongozi wetu badilikeni, watanzania tubadilike, msitishiwe na kidhungu...:majani7:
 
Zakumi,

..LOL!!

..hata sijui tumefikaje hapa!!

. Gaijin, what happened??

..Where did all this start?!!

You are a great Tanzanian. You always retain your composure. Katika huu mjadala wa muungano iwapo wote tutakuja na nia nzuri tutaweza kudumisha muungano wenyewe na vilevile kupata katiba ya kuendesha mambo yetu vizuri.

Siasa ya vyama viwili na katiba ya Marekani zimekuja kwa misingi ya muungano wao. Kuna waliotaka federal government iwe na nguvu (federalists) na wale waliotaka states ziwe na nguvu. Huo ndio ukawa mwanzo wa Republican na Democract.

CDM wameleta mjadala wa majimbo na kuna watu wengi tunashabikia kwa sababu tunaona kuwa mfumo wa sasa wa serikali kuu haufahi. Na kuna watu wanaotaka kuendeleza mfumo wa central government kama tuliyonayo sasa.

Kutokana na michango yako hapa JF, naweza kusema kuwa nikija ofisini kwako unaweza kunipa kazi au huduma kutokana na sifa zangu au haki zangu za kiraia.

Lakini watanzania wengi waliopata madaraka hawakutumia nafasi zao kuendeleza identity ya taifa. Na sishangahi kuona watu wanaanza kudai identities zao.

Utamwambia mtu wazo la utaifa wakati akienda kwenye ofisi ya serikalini anajiona mtu mgeni tu. Kuanzia mesenja mpaka mkurugenzi ni watu wa kutoka sehemu moja.
 
Wakenya hawana jipya wal umuhimu wowote kwetu, Hii ni CCM ndio imetaka tuingie kwenye EAC. Kama wao ni muhimu na wameendelea si wangebaki kwao. Kwao jua kali sani Kisumu huko ni hatari maisha magumu sana.
 
Kwa nini hakuna Mtanganyika?

Je umesoma the big lie theory? Wanasema uongo ukirudiwa mara nyingi watu wanaamini kuwa ni ukweli. Tanganyika na Zanzibar ni majina ya kufikirika tu. Baada ya kurudiwa mara nyingi tumeamini kuwa ni ukweli.
 
Na jee Tanzania Bara is the truth or is it a new lie worth repeating until we believe it's the truth?

Ni bora tukaelewa kwamba kama kuna solution kwenye suala la Muungano basi inaongozwa na kanuni za N=NP problem, sio pete wa kipete
 
Na jee Tanzania Bara is it the truth or is it a new lie worth repeating until we believe it's the new truth?

Ni bora tukaelewa kwamba kama kuna solution kwenye suala la Muungano basi inaongozwa na kanuni za N=NP problem, sio pete wa kipete

Suala la muungano linaongozwa na the Post correspondence problem.:becky::becky: Kuhusu TB au TV ngoja ninyamaze kwanza.
 
It sounds awkward to claim that Kenya is rich. The fact is that Kenya is a country with millions of people that live in serious misery and few politicians who own almost everything. Kenya is poor but the Kenyettas, the Odingas, the Musyokas and their foreign business partners are simply as rich as any other rich person in the first world country. Kenya is probably the only country in EA where the poor have no hope of having their lives change for the better.

that is just bullshit..Kenyans are hated because of their hateful attitude, their arrogance, they think they are America whilst Tanzania is burundi..Kenya is developed? You must be outta of your mind. Kenya is as poor as most other countries..You per capita is like 850$, with high food costs, etc..more Kenyans are in need of basic food security than the people in South Sudan. Come back when you have an economy like South Africa to brag about. Come back when your northern region is developed, come back when you don't kill yourselves with machetes..

who the **** told you we wanna see Kenya as our role models? People who are tribalists and arrogant sons of pricks becoming role models? Couldnt choose a role model who was worse.

Kenyans i got few words for you..stay in your m-****ing country and dont come to Tanzania.
 
Your Excellency, I like the term "bete noire", suits the Kenyans with their "double standards". The East African Community, call it integration if you like, has failed twice in the past- and all because of them- what they do not tell us is why their change of mind this time? To them, what makes it tick?

Icho Kingereza bora ungeandika Kiswahili au ndio unajiandaa na EA? Tehe tehe
 
wakenya wanapenda ng`ang`ana hata vitu wasivyoweza.Ila wabongo wakiendekeza jaza watu kama Nape,Lemutuz, michuzi, kibonde and the sort ktk system,ndio tunakavyokuwa na mabalozi wanaohalalisha watu wa nje kutudharau. Kukutana na hao watu bila kupata bahati ya kuona wengin ni wazi hutasahahu hiyo picture kila uanposikia Tanzania na Mtanzania.Tuna watanzania wengi tuu wanaochosha kama tunavyochoshw ana tabia za wanzanzibar na logic zao.Sasa kwanini wengine wasiwe na haki ya kutufikiri ahivyo?
 
Ndugu zangu wakenya wananishangazaga kitu kimoja! Kila kitu cha tz kibaya, si chakula, starehe, mazingira n.k. Lakini utamkuta kang'ang'ania anijiita mtanzania wa tarime! Hapo kaajiriwa kwa vyeti na paspoti ya kufoji ya tz. Sasa tabu yote ya nn hiyo? Si uende Kenya ambako ni kuzuri zaidi?
 
that is just bullshit..Kenyans are hated because of their hateful attitude, their arrogance, they think they are America whilst Tanzania is burundi..Kenya is developed? You must be outta of your mind. Kenya is as poor as most other countries..You per capita is like 850$, with high food costs, etc..more Kenyans are in need of basic food security than the people in South Sudan. Come back when you have an economy like South Africa to brag about. Come back when your northern region is developed, come back when you don't kill yourselves with machetes..

who the **** told you we wanna see Kenya as our role models? People who are tribalists and arrogant sons of pricks becoming role models? Couldnt choose a role model who was worse.

Kenyans i got few words for you..stay in your m-****ing country and dont come to Tanzania.

God keep away these mungikis from our beloved given land of Kilimanjaro, Serengeti and Zanzibar.
 
Back
Top Bottom