Wewe sio Mtanzania unajueje kama huyu ni Mkurya wa Tarime?
Na wewe umejuaje kuwa Zionist si Mtanzania?
Wewe sio Mtanzania unajueje kama huyu ni Mkurya wa Tarime?
Rubbish thinking. In this world no one is blessed and no one get blessed. People work hard for success. Hizo hadithi zenu za Kilokole za kurukia Biblia bila uelewa hazina mashiko. Who blessed Japan? Allah or Jehovah? Who blessed Russia and China? Jehovah or Allah? People work hard for success. Israels are not blessed as you think. They are working hard for their survival in their grave challenges. Keep that in your mind prunk!!kENYA IS A G0OD friend of Israel while Tanznaia gvt is a good friend of palestina. Who would be bleesed!
Na wewe umejuaje kuwa Zionist si Mtanzania?
kwani michuzi ana tatizo gani?au hiyo site yake?mbona iko juu tu na inayo matangazo kibao .sema raha ya Jf ni kwamba sisi member tunaanzisha threads.wakati michuzi yeye ndo anapost thread ili member mchangie.
Hivi wewe umeshawahi kwenda restaurant au baa za kenya uone wahudumu wanavyojituma halafu ulinganishe na kwetu? Kwenye maduka, supermarket, mabenki kote customer service ya wakenya ni nzuri wametupita. Tatizo la watanzania hatupendi kuacknowledge weakness zetu.
Kwenye research methodology huwa tunafundishwa kuwa hatua ya kwanza ya kutatua tatizo ni kulitambua tatizo na kuliacknowledge kwamba ni tatizo. Tuna matatizo ya uvivu, ubinafisi na kutokuwajibika. Ingawa motive za kakenya kupoint weakness zetu ni kutaka kujineemesha kupitia kwetu, lakini lazima tukiri kwamba hizo weakness tunazo na tuziwekee mikakati ya kuziondoa kulinda heshima yetu.
Hata hilo la elimu tutabisha tu lakini wakenya wanatuzidi, wameanza kuwa na vyuo vikuu vingi zamani na wamesambaa duniani kuliko sisi.
sijawahi kukutana na watu wasiojali identity yao kama watanganyika
Tanzania should concentrate on being more on SADC than EAC.. Mozambicans, Zambians, etc arent hateful at all, way too peaceful, they have natural resources too etc etc..however Kenyans are associated with everything bad facing a nation, and they hate us ..lets show Kenya and the EAC the middle finger my fellow Tanzanians and tell them to **** off. Tanzanians is a lone giant..we dont need them.
Gaijin,
..ukiona mtu anabeba passport ya nchi fulani, halafu anajitambulisha kwa utaifa mwingine, basi ama mtu huyo ana matatizo au nchi yake ina matatizo.
..malengo ya nchi yalikuwa ni kuunda taifa moja, dola moja, kati ya Tanganyika na Zanzibar.
..muungano wetu una matatizo ndiyo maana unaona upande mmoja unaona fahari kujitambulisha kama wa-Tanzania, wakati upande mwingine umegoma kujitambulisha hivyo.
..wa-ZNZ nao wana inferiority complex kwamba "watamezwa" na pia wana matatizo yao ya ubaguzi, zaidi wamekuwa wakidekezwa na kuendekezwa ktk tabia zao hizo. matokeo yake ndiyo hayo wamedata ktk u-Zanzibari.
..Nigeria ni shirikisho, na wananchi wake wanaona fahari sana kujitambulisha kama wa-Nigeria. Hata wa-Ibo waliotaka kujitenga na kuunda Biafra wanajitambulisha kama wa-Nigeria, ingawa pembeni wanalalamika kuhusu ukatili waliofanyiwa na ndugu zao toka kaskazini.
Gaijin,
..serikali zipo za aina nyingi.
..kuna serikali za wanafunzi, za mitaa, etc etc.
..maraisi pia wako wa aina nyingi.
..serikali ya Zanzibar haina hadhi ya kukupa uraia wa Zanzibar.
..hakuna uraia wa Zanzibar kuna uraia wa Tanzania.
Haikupi uraia lakini viongozi wa juu wa Tanzania wanasikika wakisema ni "nchi ndani ya nchi", Rais wake anatambulika kikatiba na Rais wa Tanzania akienda Zanzibar sherehe za Mapinduzi anakuwa second to Rais wa Zanzibar kiitifaki kwenye sherehe hizo
Tusigeuke mbuni tukaficha vichwa kwenye mchanga wakati mwili uwazi, kama ni tatizo kwa Wazanzibari kujifaharisha na Uzanzibari wao basi kosa hilo limesababishwa na mfumo ulioasisiwa na Nyerere, sio kosa la raia wa huko
Nyerere akubali Watanganyika (as far as Zanzibar is concerned) kuingia kwa passport Zanzibar ikisha useme kosa la Mzanzibari kujifaharisha Uzanzibari wake? Where is the logic in that?
Nionavyo kosa ni la Mtanganyika kutokuwa na pride na kuruhusu Mzanzibari kumhisabu yeye kama Mtanganyika ila yeye apende udugu sana nae na kuendelea kujitaja kwa sifa ya Utanzania
Zionist Tuungane kwa mambo mengi kadri itakavyowezekana lakini suala la ardhi sikubaliani hata kidogo, lazima viongozi wetu watambue nchi zote hizi kenya,Uganda, Rwanda na Burundi wana matatizo makubwa ya ardhi. Kuna wakati sioni faida kubwa sana za kuwa na umoja wa sarafu labda nielimishwe zaidi, binafsi siupendi huu mtangamano hasa nikiangalia hulka na desturi za wenzetu katika masuala ya ukabila,ukatili, ubinafsi,dharau. Watanzania tuna matatizo yetu lakini bado tunaishi pamoja kama ndugu,kiwango cha kuvumiliana bado kiko juu sana.