JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Sijawahi kukutana na watu wasiojali identity yao kama Watanganyika
Gaijin,
..East African community, au muungano wa aina yoyote ile, ni project ya kuachana na identity ya zamani na kuchukua identity mpya.
..ni vigumu ku-champion interest za jumuiya huku nchi wanachama zimeng'ang'ana ktk nationalism na "identity" zao.
..hata muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeshindikana kwasababu Zanzibar wameng'ang'ania identity yao. Now, tunaweza kuwasifia kwa hilo, lakini lazima tuelewe kwamba hulka za namna hiyo ni kikwazo ktk masuala ya umoja na mashirikiano.
..mwisho, tumetoka kwenye u-Tanganyika tumekwenda kwenye u-Tanzania. Je, ni makosa kwa Waafrika kuunganisha nchi zao na kuchukua utaifa mpya??
Last edited by a moderator: