Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

Bila kuwa mad, kwa maana ukweli saa nyingine inaumaga sana. Kwa nini

Rose migiro alifukuzwa UN?
Hasheem Thabeet anashindwa NBA?

Jibu nyinyi mnajua. Ni midiocre. Siyo sababu ya English, kwa maana 80% ya kenyan wanaelewa English vizuri. Nasemea kwa watu wale cleaver. Out of Nyerere, Shivji, This called so Mwanakijiji and Mashaka, who else outstands in TZ. Nyinyi manogopa EAU bure kabisa. Juu wakenya watakusaidieni kukuwa kwa maendeleo

Ndo maana nasema content wise ni "zero" kwa vile umeninukuu hapa lakini hakuna ulichojibu. Wewe ni mfano tu ya hawa nilionao hapa ninaowasimamia kazi na hapa umetuonesha kwamba ninachokisema kinaukweli.
 
Bila kuwa mad, kwa maana ukweli saa nyingine inaumaga sana. Kwa nini

Rose migiro alifukuzwa UN?
Hasheem Thabeet anashindwa NBA?

Jibu nyinyi mnajua. Ni midiocre. Siyo sababu ya English, kwa maana 80% ya kenyan wanaelewa English vizuri. Nasemea kwa watu wale cleaver. Out of Nyerere, Shivji, This called so Mwanakijiji and Mashaka, who else outstands in TZ. Nyinyi manogopa EAU bure kabisa. Juu wakenya watakusaidieni kukuwa kwa maendeleo

ivi nyie wakenya mbona mnalazimisha undugu??sisi kiukweri hatuwataki na hatuwakubari,ila mmetung'ang'ania kweli..nendeni mkaungane na wakatili wenzenu somalia,hatutaki wauaji sisi.
 
Kenyans can skillfully manipulate the Media to present a picture of Kenya which is not in existence. Someone commented in one of the sharings here, that there are a lot of Kenyans who have no land, this is true. The capitalistic system that Kenya embraced after Independence robbed the majority of Kenyans right to own Land. The only solution they vorsee is to eye the land of Tanzania. Who does not know that land in Kenya is owned by few privilleged families, like the Moi, Kenyatta and Kibaki families?
Kenya should not boast, it is the only country in EA which can not feed her citizens. Every year a number of people strve in Turkana to death, yet the Author claims he can develope our land better than the chinese and arabs. And by the way what is the measure of education? I have written time and again in this forum, that education should not be equated with the ability to use the colonial language English, If that were to be the case, then the Chinese and Russians have not gone to schoool!
The so called Mashaka, whoever he may be, had a point to raise, the author insteady of talkling his point, went personal to attacking his personality, ohhh he is a refugee.
There are very many avenues that are to be tackled first before we rush to the monetary union. Let us say in case of fiscal crisis like the one of Europe, do we have a country in East Africa like Germany, which can bail the rest out?
In order to forge a monetary union, the economies must be in paar in order to avoid economic crisis, have we checked that. So let the Kenyans not think that we Tanzanians are refusing just for the sake of it, but our concern is informed and goog intentioned.
Afterall, Kenya has very many scores to settle. They have a mountain of issues to be somountled before they think of the Union. Tribalism, Terrorism(ALshababs in eastling).
It does not add up to say that Kenyans are more educated than Tanzanians. Indeed, this is ballyhoos and imbicility. If Kenyans think they are more developed, more educated and more advanced than others why should they force others to enter union with them? To me, all east African countries are poor save that the difference is about investment. Kenyans prouding for their so-called development are myopic and megalomaniac. All most of firms Kenyans think are putting their country ahead of others in East Africa are owned by Foreigners not Kenyans. For instance, The Nation Company, it is owned by Agha Khan. Methinks, Kenyans need to know what development means and entails vis a vis their common mwananchi. Kenya leads all countries in East Africa when it comes to having a population of landless people. Again, Kenya just like other East African and African countries still depends on donor money. Where is the develpment some myopic and ignorant Kenyans are touting? Let us sit down and think about how to forge ahead instead of Better Thou while we are all poor and dependent on donors. It sickens to find that those cheating each other to be good neighbours and brothers and sisters are scheming to sabotage other in order to alleviate their poverty. Shame on all such bete noix.
 
Kweli IQ ya kwetu Afrika, ni chini ya 70! Hivi mnachobishania hasa mpaka kujaza kurasa ni nini hasa? Tanzania na Kenya wote ni maskini wa kutupwa halafu mko hapa kubishana ni nani maskini zaidi ya mwingine? ukimchukua mtu kutoka Mexico ukamdondosha Chalinze halafu baadae ukampeleka sijui Kitengela, halafu akaja humu na kusoma hawa watu wawili wanavyotambiana na kubishana humu na kujisifia vitu ambavyo kiuhalisia havipo, anaweza asielewe, hata kwa nini kurasa zimejaa, lakini ndio waafrika hao, wamejaza kurasa mpaka 9 na kuendelea kubishania nani maskini zaidi ya mwenzake, kati ya wanyonywaji 2 nani ananyonywa zaidi ya mwingine, ajabu kweli kweli!
 
I did not know that Mashaka is a former Burundi refugee. I thought he was from Tarime.

Let's congratulate Mashaka on what he wrote it's bit analytical and sounds reasoning and forget about his Origin!
America is built by foreigners and they always stood fast on issues of genuine interests!what's matters is the contents and not his origin!

Problem with Kenyans they think English is everything and Tanzanians are afraid about them Hell NO!

Let's urge with reasons and not thoughts
 
You TZ people are very funny. How in the world would you say mashaka is correct? The guy is a product of Kenya education. And by the way, In Kenya standards, he is in the level of a Form four. conning his way into Wall-street does not mean he was cleaver, he was only lucky or coned in his way.

Are you guys forgetting your UN depeuty secretary general was fired because of incompetency? Ohhh... By the way, your education minister, what level of education does he have...I am sure he did not complete Class 8 because even a primary school kid in kenya would never call Zanzibar a union of Zimbabwe and pemba....

I clicked "like" not because I appreciate your logic and insecure arrogance, but we are interested in common funny products from CCM( poisonous and barbaric CCM ) camp.

Hayo mengine unaniacha nikivunjika mbavu wa kunikumbusha my last encounter with Jaluo.Kenya you are great when it comes learning the harder way.
 
Nicholas, this type of attitude will not take you anywhere. This hateful speech is not different from the one you portray from Kenya. In every sense, we need to show that Tanzanians are different from Kenyans!. Tafadhali lets think of other ways to counter -attack, not by hateful speech.

oh yeah...I have noticed how hard for you to grasp others comment.Instead its easier to attack your fellows.Zimwi likujualo halikuli ukaisha..ha ha.Kweli sitokukula ukaisha.

Kama ilivyo kwa watanzania kuna wakenya wenye ustaarabu ""flag careers" na kuna wakenya wengi tuu ni bastads.Wamesoma ila bado wanatembea na madaftari na magazeti kutumia kama toilet paper.

Sasa wewe unashangaa nini mimi kusema kuwa Nairobi kumeajaa vyakula visivyo na ladha wala mvuto.Kama unadhani ni mbaya waulize wakenya wakiingia Tanzania wanavyoshangaa chakula ya mama Ntilie.

I remember my friend kutoka Kenya alikukwenda Arusha, kwa vile hakuwa na hela akahisi kuingia restaurant ange exhaust hela yake mapema.Akajaribu kwa mama ntilie kwa vile hakuna anayemjua na siku hyo hakuwa amevaa suti.Basi alipokula hakuamini ladha ya chakula akilinganisha na kenya.Yule jamaa aliamini kuwa hakuna mahalai pengine chakual akitamu kinauzwa kama pale.Jamaa akaja niambia kuwa kuna mama mmoja anauza chakuala kizuri sana ,angepatiwa mtaji angeweza kuwa top in Arusha.Kwa vile sikuwa na muda wa kwenda nikamwambia one day tutakwenda, yule bwana akawa anahamahama guest house mjini ila hakuwa akikosa kwenda kwa yule mama.kwa kipindi cha week 2 nikawa tena Arusha.Jamaa akanipeleka nilipofika nilicheka,nikadhania kuwa kuwa jamaa laikuwa akimtaka yule mama kumbe hakujua hayo ni mapishi ya kawaida kabisa ktk mitaa yetu, na huwa sisi tunahofia sana usalama na ubora wa hao wapishi.
 
You TZ people are very funny. How in the world would you say mashaka is correct? The guy is a product of Kenya education. And by the way, In Kenya standards, he is in the level of a Form four. conning his way into Wall-street does not mean he was cleaver, he was only lucky or coned in his way.

Are you guys forgetting your UN depeuty secretary general was fired because of incompetency? Ohhh... By the way, your education minister, what level of education does he have...I am sure he did not complete Class 8 because even a primary school kid in kenya would never call Zanzibar a union of Zimbabwe and pemba....

You people have serious problems . Glad I was not born a kenyan
 
binafsi i congratulate you Mashaka JOHN wewe ni great thinker,nawe Nairobian ni mtu mbaya saana, nimekukamata ktk sentence yako hii.'It will be better for Tanzanian to allow kenyan farmers help develop it's land than let the chinese and Arabs grow food and fuel for their countries' hapo tu ianajionesha tuko tofauti tayari jamaa , limeisha tamani ardhi ya nchini mwetu na kuanza ubaguzi, inaeleweka wazi wakenya wanatamani saaana ardhi yetu.
 
Lakini Gaijin, Mtanganyika anajinasibisha zaidi na Tanzania kuliko kabila lake, meaning, national identity ni muhimu kuliko kabila lake. Question is, kwa nini Tanzania more than Tanganyikan identity?

Nyerere alifanikiwa kui obliterate national pride and identity from the Tanganyikan psyche, na mstari aliotumia ulikuwa shrewd, misleading, simple, but formidably powerful, "Umoja ni Nguvu." Na wakati huo national thought iliyokuwa inadumishwa ilikuwa ni ya mtu mmoja tu, Mwenyekiti wa Chama, wengine wote upeo ukadumaa, from disuse. Hakuna aliyekuwa anaweza kumuuliza, jamani Mwalimu, Umoja ni Nguvu ndio, at any cost?

Je, Mmarekani anaweza kuamka kesho asubuhi akasema kuanzia leo tunabadilisha jina, kuwa The Republic of Porto Rico and America, tutakuwa na Marais wawili, na nationhood ya Mmarekani kuanzia leo tunafuta, Umoja ni Nguvu! Hawana upeo uliodumaa kiasi hicho.

Tanganyika ya mkoloni, hakukuwa na national pride ya Tanganyika, kulikuwa na pride ya kabila. Hata biashara na interaction ya Watanganyika wanaoishi mipakani na nchi jirani zilikuwa zinaenda kikabila zaidi. Uhuru umepatikana, miaka mitatu tu hata national pride ya Tanganyika haijajikita nyoyoni mwa watu, kaboooooom, mnaambiwa nyinyi ni Watanzania.

Nyerere aliyetaka Muungano wa serikali mbili kuelekea moja hawezi sasa kuwapa watu pride ya Utanganyika kwa sababu ingezua tatizo inapofikia wakati wa serikali moja. Kwa vile watu hawakuwa nayo Tanganyika nyoyoni mwao, hawaoni tabu kumeza chambo cha Umoja ni nguvu na kusahau kama kulikuwa na Tanganyika

Tunafikia kizazi cha sasa, ambacho kimezaliwa kwenye Tanzania na hakiwasikii wazazi wake na wazazi wa wazazi wake kujifaharisha kwa Utanganyika, anaona Utanganyika ni tusi na anaekumbusha Utanganyika itakuwa lazima Mzanzibari mbaguzi tu.
 
Tanganyika ya mkoloni, hakukuwa na national pride ya Tanganyika, kulikuwa na pride ya kabila. Hata biashara na interaction ya Watanganyika wanaoishi mipakani na nchi jirani zilikuwa zinaenda kikabila zaidi. Uhuru umepatikana, miaka mitatu tu hata national pride ya Tanganyika haijajikita nyoyoni mwa watu, kaboooooom, mnaambiwa nyinyi ni Watanzania.

Nyerere aliyetaka Muungano wa serikali mbili kuelekea moja hawezi sasa kuwapa watu pride ya Utanganyika kwa sababu ingezua tatizo inapofikia wakati wa serikali moja. Kwa vile watu hawakuwa nayo Tanganyika nyoyoni mwao, hawaoni tabu kumeza chambo cha Umoja ni nguvu na kusahau kama kulikuwa na Tanganyika

Tunafikia kizazi cha sasa, ambacho kimezaliwa kwenye Tanzania na hakiwasikii wazazi wake na wazazi wa wazazi wake kujifaharisha kwa Utanganyika, anaona Utanganyika ni tusi na anaekumbusha Utanganyika itakuwa lazima Mzanzibari mbaguzi tu.

Gaijin;

Katika nchi chache za kiafrika zilizopata uhuru zikiwa na national identity, Tanganyika ilikuwemo. Ukabila unaozungumza wewe ni wa lugha tu lakini makabila mengi yamechanganya sana.

Kwa mfano biashara ya watumwa ilifanya makabila mengi kuchanganyika. Vita vya majimaji, vilichanganya karibu nusu ya nchi hasa makabila ya kusini. Vita vya kwanza vya dunia navyo vilichanganya sana watu.

Tukirudi kwenye makabila, makabila mengi yana uhusiano wa karibu. Wasukuma na wanyamwezi ni watu walewale. Wabondei, wasambara, wapare ni watu walewale.

Machifu au wafalme wa makabila walikuwa watu wa mchanganyiko wa makabila mbalimbali. Kwa mfano Mkwawa, Fundikira au Nyerere,

Tanganyika halikuwa ni koloni la mwingereza. Kutokana na kutokuwa koloni mwingereza hakufanya juhudi ya kuendeleza kama vile kupeleka watu shule. Chini ya identity yao ya utanganyika walilalamika kwa umoja wa mataifa.

Nchi nyingi za kiafrika zilipopata uhuru zilikuwa zina mvutano wa kikabila. Tanganyika haikuwa na mvutano wa kikabila.
 
What is happening in Europe is because they borrowed too much. In East we don't borrow especially in Kenya we don't depend on foreign aid. Single currency is good for our economies because it will make our countries compete with the USA and EU in trade. We will have negotiations power in trade and militarily we will. Our TZ friends should join Kenya so they can also learn from Kenya's 2030 vision which will make the EA like Switzerland. Tanzania is on the losing end if it can follow people like these with their own political agenda

single currency will never work because political federation is needed to control public expenditure.......and I do not see that happening.............let us follow the Mugabe approach and dollarize our economies..............then you do not need to worry what individual states are doing with their few money in Treasuries..........
 
Huyu Nairobian ni kituko kabisa, anapigia debe EAC na bado anashindwa kuficha tabia za kipuuzi za wakenya kuendekeza ukabila! Sasa kwa kudai huyo J. Mashaka ni mhutu anataka kutwambia nini?! Kwamba wahutu siyo wenyeji wa E. Africa au? Elimu gani wakenya mliyo nayo ya kuendekeza ukabila kiasi hiki? Kweli pembe la ng'ombe halifichiki!
 
Gaijin;

Katika nchi chache za kiafrika zilizopata uhuru zikiwa na national identity, Tanganyika ilikuwemo. Ukabila unaozungumza wewe ni wa lugha tu lakini makabila mengi yamechanganya sana.

Kwa mfano biashara ya watumwa ilifanya makabila mengi kuchanganyika. Vita vya majimaji, vilichanganya karibu nusu ya nchi hasa makabila ya kusini. Vita vya kwanza vya dunia navyo vilichanganya sana watu.

Tukirudi kwenye makabila, makabila mengi yana uhusiano wa karibu. Wasukuma na wanyamwezi ni watu walewale. Wabondei, wasambara, wapare ni watu walewale.

Machifu au wafalme wa makabila walikuwa watu wa mchanganyiko wa makabila mbalimbali. Kwa mfano Mkwawa, Fundikira au Nyerere,

Tanganyika halikuwa ni koloni la mwingereza. Kutokana na kutokuwa koloni mwingereza hakufanya juhudi ya kuendeleza kama vile kupeleka watu shule. Chini ya identity yao ya utanganyika walilalamika kwa umoja wa mataifa.

Nchi nyingi za kiafrika zilipopata uhuru zilikuwa zina mvutano wa kikabila. Tanganyika haikuwa na mvutano wa kikabila.

Ndio hakukuwa na mvutano wa kikabila lakini sense ya kabila kuwa na nguvu ilikuwepo na ndio maana Nyerere akafuta uchifu.

Enzi za biashara ya utumwa makabila yalichanganyika na kushirikiana kuunda cartels za biashara sio "Utanganyika".

Yes, Tanganyika ilikuwepo lakini to many it didn't mean much. Wapo watu waliopigania uhuru wa Tanganyika, waliopigana vita Burma huko kwa bendera ya Tanganyika lakini ni asilimia ngapi ya watu wote?

Btw; kuchanganya damu hakumaanishi chochote kikubwa, ukimuona Jemshid aliyeponduliwa Zanzibar huulizi kuwa ana damu nyingi ya Kiafrika (maybe nyingi kuliko ya Kiarabu), but did it mean anything to him or to the revolutionist?
 
Bila kuwa mad, kwa maana ukweli saa nyingine inaumaga sana. Kwa nini

Rose migiro alifukuzwa UN?
Hasheem Thabeet anashindwa NBA?


Jibu nyinyi mnajua. Ni midiocre. Siyo sababu ya English, kwa maana 80% ya kenyan wanaelewa English vizuri. Nasemea kwa watu wale cleaver. Out of Nyerere, Shivji, This called so Mwanakijiji and Mashaka, who else outstands in TZ. Nyinyi manogopa EAU bure kabisa. Juu wakenya watakusaidieni kukuwa kwa maendeleo
mimi nimependa hapo kwa Rose Migiro, hasheem sijui na sijui hata kama Kenya wana mchezaji NBA wa calibre yake.


Snetnsi ya mwisho inanichekesha sana.unawafanya watz km watoto wadogo au mwanamke wa kutongoza.Nani kakuambia kuna foreigner anapeleka maendeleo popote.Huwa ni wenyeji wanajiandaa kuwatumia wageni kuleta mendeleo, hakuna blacka lipeleka maendeleo Brazil, Portugal, spain, UK, Dubai, ila wenyeeji ndio waliandaa channels za kufanya hivyo.Hata China leo imejengeka kwa vile Mkoloni kaamua watumia wachina kwa kuwapelekea viwanda, ila kuwapelekea maendeleo haikuwa lengo la msingi.
 
Hivi jamani uwepo wa CCM ni aibu kila mahali hata kwa watanzania wenyewe,nani hadhaau magamba?Sasa kwanini wenzetu wasiwe na haki ya kutudharau kama encounter zao nyingi zinakuwa na junks za CCM.Mulugo, kibonde, michuzi, dhaifu, Sitta, na wengine wengi tu wa kuchekesha.
 
Monetary union bado sana aisee.

Euro yenyewe inayumba yumba waingereza wanashukuru hawakuingia mazima wanatumia pound yao.
 
Alaa kumbe inawauma sana juu ya muungano wa EAC eeh, sisi wazanzibari ndio tunaomba hasa waje waburundi,wakongo,wakenya,wauganda,waje kuchukua mashamba ya watanganyika huko,najua wako matajiri wa kikenya wanapesa hawana vya kuzifanya,wanunue nchi nzima hilo, kumbe hujui kama nchi ishauzwa ? Nenda huko migodini uwone wa south Africa wanachota na kuondoka, wana videge vyao havitui hata airport, humalizia huko huko migodini na kuchota na kuruka zao kwa s.Africa.

Wewe kaa hapo ccm oyee, chadema oyee,nchi ishauzwa hiooo hujapewa chakoo ? kumbe inawauma sana, hivi vilio vya wazanzibari kukataa muungano hamuoni kwamba inawauma kama inavyo wauma nyie,, hizo hoja alizo toa John Mashaka ndizo hizo hizo ambazo wazanzibari tunazipigia kelele katika muungano huu wa tanzania, tunataka zanzibar iliyo huru kabisa.

Hivi nyinyi watanganyika kwa nini hamsomi nyakati na history ? Inakuwa nchi changa kama hizi ambazo hazijawa stebul katika nyanya mbali mbali za kiuchumi munaungana kwa faida gani ? Hebu fanya utafiti kwa kina ili uweze kuwa member au kuweza kuomba member wa EU unatakiwa nchi yako iwe na vigezo gani ? Halafu tuangangali huo muungano wa EAC hizi nchi zimefikia kiwango gani hata kufikia kuungana ? Nafikiri tungeliendelea tu na ujirani mwema kama zamani la sihivyo tunaweza kujikuta tunaingia katika migogoro mikubwa sana, wazungu wanaawangalieni tu, wanasubiri vita vitawale ili waje kuchukua rasilimali.

Jifunzeni huko somalia, iraQ na libya, watu wanauwana wao wachazuiya mafuta huko na rasilimali nyengine wana gida nyie munauwana, tutumie akili kwa kutafakari mambo na tusiwe washabiki wa mambo.

Kuna mambo hatuhitaji kufukiria tunatakiwa ku copy tu na paste, mitihani mengine ndio tunatakiwa tukae chini tufikie, tusiangalie sana faida wakati pengine usoni kuna hasara kubwa sana, vingozi wa tanzania walichoangalia wao kuta nyazifa mbili mbili, huku mbunge wa tz huku mbunge wa EAC, dats it ? hayo ndio maslhai yao wapate mishahara mikubwa tu.

Suala hili na muungano lazima lazima wananchi walipigie referendum kwanza , waamue kama wanalitaka au hawalitaki, wanao umia na watakao kuja kuumia ni wewe mwananchi na sio kikwete wala mkapa, wala zito kabwe, wao hao wana diplomatic passport wakiona mabomu yameanza wanakata kiketi uswizi kutumia pesa zao na familia zao wanakuachia wewe janga na vita vyako.

Hawa viongozi ni watu wabaya sana kama hamupoangalia vizuri, tusikubali kuburuzwa buruza, lazima mulinde rasilimali zenu, identity zenu, lugha zenu, utamaduni wenu ie.

Lakini mitanganyika haina upeo na hamuna vision yoyte hamujithamini nyinyi wenyewe kwanza, jiulize munashkea miaka 51 ya uhuru nchi iko wapi ? Bora wazanzibari wana uzalendo mkubwa katika kulinda utamaduni wao na utaifa wao, na ukaona mzanzibari popote alipo ana ji proud kuwa yeye mzanzibari na sio mtanzania .. jee wewe mwenzangu ni nani ?

Mkataa kwao ni mtumwa,,
Hii nimeinyaka huko kwa mzee michuzi,

Nairobian said..

%he so called educated TZ people are treating kenyans as junior partners in the East African union. A few educated Tanzanians like the so called Mashaka john, are spreading rumors and unfounded lies about Kenya, that Kenya will grab Tanzania land, Kenya will take their jobs, Kenya this, Kenya that. This is what we call cheap propaganda and Kenyaphobia in Tanzanians heads. If you have self confidence on yourselves, why fear Kenyans?

A few educated Tanzanians instead of educating their citizens on how to create jobs, they are turning on propaganda like the so called Mashaka John whose main job is to demonize Kenyans. Kenyaphobia is everywhere in TZ because of misguided people like Mashaka. Of course Kenyans are more educated and competent on their job in the entire EA. That is why Kenya is the most developed of all countries in East Africa

Tanzania and Burundi are the least developed, and being in the same union with Kenya, TZ has a chance of being a regional number two. Once we have one currency or our countries are united, most likely, Kenya will export its educated labor force to help Tanzania develop its own talents and resources. The first EAC died because Nyerere and Iddi Amin did not want to listen to Kenyatta good advice and these people living in exile with Iddi Amin mentality should not dictate your future

TZ are good neighbors and should avoid Mashaka john’s cheap propaganda. This cult-like leader who has built huge blind following is not a hero as some see him. He is a propagandist like any other politician. He is not a Tanzanian after all; he is a Hutu and former refugee who once lived in a refugee camp in Kenya during his early (90’s) teenage years. He is trying to exploit his political ambitions by making Kenyans look evil. He has been Tanzania attack dog against Kenya which is not good in our relations.

Mashaka was pointless in his arguments. His victory was mastery of English, which Kenyans taught him and that is the only praise he can get. John and his followers know that it will be better for Tanzania to allow Kenya farmers help develop its land than let the Chinese and Arabs grow food and fuel for their countries.

What is happening in Europe is because they borrowed too much. In East we don’t borrow especially in Kenya we don’t depend on foreign aid. Single currency is good for our economies because it will make our countries compete with the USA and EU in trade. We will have negotiations power in trade and militarily we will. Our TZ friends should join Kenya so they can also learn from Kenya’s 2030 vision which will make the EA like Switzerland. Tanzania is on the losing end if it can follow people like these with their own political agenda

Nairobian

Source MICHUZI: Hoja ya haja: Mjadala wa sarafu ya afrika mashariki.

CHANZO Cha Ugomvi

icon1.png
Re:
John Mashaka: East Africa is not ready for a common currency
TUESDAY, DECEMBER 04, 2012

Adoption of a common currency in the East African Federation seems inevitable based on the intense discussions and movements on the ground. As citizens and stake holders in the federation, we have a civic duty to advice and even challenge our governments when their actions seem to be going off-course. Catastrophic political and economic consequences underneath the monetary consolidation have particularly compelled me to trumpet my fear much louder in anticipation that our leaders will hear our voices.


I am not trying to paint a dooms day economic scenario; I am rather, trying to reiterate the reality from today’s vantage point. In short, our countries are not ready for monetary integration due to the severe and serious political and economic differences that needs to be harmonized. Kenya for example is in a serious political transition following its 2007 elections chaos. Its constitutional implementation has a long way to go before the country could see political stability. Tanzania on the other hand is battling its integration (Tanganyika and Zanzibar) headache, whose fate is not known.


The countries have different economic policies and challenges. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania are facing enormous economic difficulties of their own including varying inflation rates. Based on Tanzania Bureau of Statistics, the country’s inflation rate as of October 2012 stood at 12.9%. That of Burundi is almost 18% while Rwanda’s stand at around 5.8%. In other words, to have a safe and stable currency, inflation in respective countries must stay in the range of 1.5 % through 3.0%. These numbers acceptable in the economic circles, are unlikely to be attained in the current status of affairs within the region

East African member nations are immensely divided on Immigration issues. While Rwanda has opened its doors to regional immigration, In order to tame unemployment, Kenya and Tanzania have made it exceptionally difficult for foreigners to obtain resident and work authorization. Tanzania work permits are extremely costly, while Kenya permits are straight discriminative, requiring applicants to be 35 years of age, and be able to make at-least $24,000 a year. These are serious policy differences likely to hamper a smooth monetary consolidation between the member states

The initial East African Community quickly crumbled upon its creation, simply because member states lacked cohesion. Frequent feuds among member nations, aggravated by quest for hegemony status over the union, led to the sudden-collapse of the union. Half a century later, our countries are more polarized than they were a few years after their independence. Solution to the instability in the neighboring DRC, chronic corruption in Burundi, tribal and ethnic differences in Kenya both crucial and instrumental factors in establishing a stable currency; do not seem to be in sight.

Monetary integrations require essential harmony and stability in the context of economic, social and political The proposed monetary union is an imitation from the West. Despite the European Economic Community, and now the European Union’s fifty-five year existence, its common currency, the Euro, only came into existence seventeen years ago. And out of the twenty-seven member countries, only seventeen member states adopted the EURO as their currency. Britain opted out and maintained its pound, and thus far remained out of the Euro-zone crisis.

It took the Europeans hundreds of years before they could form the European Economic Community in 1957, and subsequently EU in 1993. On the other hand, the East African Community was hastily formed in 1967, just to collapse ten years later in 1977 due to serious political differences, which remains unresolved. In retrospect, watching the economic tremor in the Euro-zone, one will logically question whether our political and fiscal leaders are watching the movie from the same screen and perhaps sense something so scary in their forward march into an economic dark-hole in the name of monetary union.


Greece is currently on economic hospice care, and so are Portugal and Spain; requiring the debt laden European Central Bank to bail them out. The Euro-zone crisis has proven to be a great burden and a nightmare to the single stronger German economy. The Europeans have no uniform fiscal rules. Their bond-market enforcers have not always been attentive to enforce the needed rigid fiscal codes of conduct; they have varying risk of sovereign default across the Euro zone. The EU member states have uneven recovery plans, with each central bank trying to maintain laxity in its tax system.

During the formation of the Euro, it designers assumed that, without rules, fiscal mistakes by one member state would impose cost on all. German’s initial worry, that unchecked deficits would become a burden on the EU central bank to monetize public debts, and financially sound nations would be forced to bail out the spendthrift and debt-holics like Greece. A prophecy that came to be Germany’s nightmare

After more than half a century of fiscal and economic study, the Europeans have no cure to their economic nightmare. The hasty East Africans, monetary union is a catastrophe in the making because its member countries have no clear fiscal policies to save their hailing, donor dependent economies. Leave alone bailing out their counterparts should the Euro-zone style fiscal crisis emerge. In short, the East African Federation is not prepared to handle the bigger problems of bailing out member states in case of financial crisis. Kenya for example will be in position to bail out Tanzania, should her southern neighbor run into a fiscal collapse. Neither will Rwanda

Need for uniform wages, relative to the cost of labor among member nations, under the same currency, is a big challenge that requires many years of study and experiment before it can be implemented. Loss of national pride and sovereignty are other serious problem that have not been fully addressed and requires national consensus or referendum. I am therefore urging President Kikwete, Hon. Samwel Sitta and our legislatures in the East African Legislative Assembly to earnestly deliberate on these facts before committing our nation into a disaster.

The list of potential problems related to the proposed single currency is long. The regional integration should however, continue only, with free movement of goods and people. Until internal political, economic, social division and mismanagement of resources within member states are resolved, until clear fiscal policies are put in place to address all possible eventualities, it will be in the best interest of our respective countries to tread cautiously into this fiscal and economic tremor or a trap called East African Common Currency.



Mungu Ibariki Tanzania
John Mashaka, (Mwanza-Tanzania)

Source: MICHUZI BLOG​
 
binafsi i congratulate you Mashaka JOHN wewe ni great thinker,nawe Nairobian ni mtu mbaya saana, nimekukamata ktk sentence yako hii.'It will be better for Tanzanian to allow kenyan farmers help develop it's land than let the chinese and Arabs grow food and fuel for their countries' hapo tu ianajionesha tuko tofauti tayari jamaa , limeisha tamani ardhi ya nchini mwetu na kuanza ubaguzi, inaeleweka wazi wakenya wanatamani saaana ardhi yetu.

Bure kabisa, hii ni propaganda. Wacheni ukora. Kenya hakuna minister mujinga kama Mulugo wa Tanzania. Na huyo Mashaka yenye mnajisifia siyo raia wa Tanzania ni mutu wa Burundi. Bila Kenya hakukuwa kama alivyo ile munaona yeye kuwa na maakili. Mudomo yake yenye kutukanana na wakenya. Kenya ndio imemfundisha ndio maana mnaona yeye ni cleaver sana. Sisi pia tutaanza rebutal naye
 
Back
Top Bottom