Kitu cha kwanza ktk maisha ni Identity kenya wanajiita wakenya, tulipaswa Tuwe Tanganyika kwanza ndo tujiunge EA bila hivyo tutaburuzwa tu Zanzibar ijiunge ka Zanzibar.
Kenya wanasema ukweli dhidi yetu sio dharau kenya wapo kimaslahi zaidi wakati sisi tupo kihuruma zaid, Kenya walishirikiana na Makaburu sisi tukashirikiana na ANC, angalia in return nani amefaidika.
EU kabla ya one currency waliweka vigezo kwa nchi wanachama wote kwanza ni kuinua currency iwe level kidogo sawa na Germany na France kwa nchi kama Turkey, Greece, Czeck na nk sasa usd 100 sawa na Ksh 8,607.29 wakati Usd 100 ni sawa Tsh 160,000 hata tukija ktk one curency EA share yetu itakuwa ndogo sana Lazima Tutamezwa so inabidi tupewe muda hata miaka 10 ya kuifanya Tsh yetu Strong against dollar
TUTUMIE MBINU ZILEZILE ZA EU KWA WANACHAMA WAO WADOGO WALIOKUWA NA CURRENCY YENYE VALUE NDOGO KULIKO YA GERMANY NA FARANCE ILI SHARE YETU IWE KUBWA PIA TUACHE KUTEGEMEA NJE TUNAICHAGUA RAIS YULE MWENYE SIFA YA KUJUA KUJENGA HOJA YA KUOMBA MISAADA SIYO WA KUJENGA UCHUMI UNAOJITEGEMEA