Nchi za Afrika Mashariki zina 8.4% tu ya Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1694513267779.png

Hadi kufikia kufikia Januari 2023, Nchi za Kaskazini na Kusini mwa Afrika zilikuwa na idadi kubwa zaidi ya Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii barani Afrika ambapo Mtandao wa WhatsApp umeongoza kwa kuwa na Watumiaji wengi ukifuatiwa na Facebook.

Kwa upande wa Nchi za Afrika Mashariki matumizi ya Mitandao ya Kijamii ni 8.4% nafasi ya pili kutoka mwisho huku Nchi za Afrika ya Kati zikiwa mwishoni kwa 7.4% barani Afrika. Kati ya sababu zilizotajwa kushusha idadi ya Watumiaji ni pamoja na Gharama Kubwa za Intaneti.

Vipi Mdau, Changamoto gani unakutana nayo likija suala la kutumia Mitandao ya Kijamii?
================

As of January 2023, the countries in Northern and Southern Africa had the largest share of social media users in Africa. In Northern Africa, around 49 percent of the population used social media, while this figure stood at 41.3 percent in Southern Africa. In Central Africa, only close to seven percent of the people used social media, the lowest rate across Africa and the lowest regional share worldwide.

Internet penetration is growing, but varies across African regions​

On the African continent, two regions recorded a higher internet penetration than the global average. As of January 2023, Southern and Northern Africa registered a penetration share of 71 percent and 66 percent among their populations, respectively. Central and Eastern Africa had, in contrast, significantly lower rates, marking 28 percent and 23 percent, respectively . In absolute numbers, Nigeria, Egypt, and South Africa topped the list.

Connected through mobile phones​

Mobile phones dominated web traffic in Africa. Compared to the world average, Africa, Asia, and South America had a higher share of web page visits conducted through mobile internet. As of January 2023, around 74 percent of the continent's traffic generated on web pages was through mobile devices. Although mobile phones were responsible for most of the online presence in Africa, the continent was behind all other regions in mobile coverage. Around 17 percent of the total population lived out of reach from a mobile connection as of 2021.

STATISTA
 
Waziri wa Mawasiliano akisoma kupitia Bando la bure lenye udhamini na undugu wa Shobo.
Wala haitakaa imuume.
1693261165182.jpg
 
Back
Top Bottom