Urusi ina Jeshi lenye nguvu na bora zaidi duniani

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Ndani ya muda dunia imepata kujua nani bora zaidi duniani kwenye nyanja ya Diplomatic Kijeshi na Technolojia tumeona jinsi Urussi ilivyo survive kwenye vikwazo vingi kuliko Nchi yoyote duniani, imeweza kuonyesha njia kwa Nchi nyingine zilizokua zikiamini mataifa ya Magharibi na USA ndio kila hapa duniani.

Sasa tunashuhudia Ufaransa ikifurushwa Africa na Russia kukaribishwa na mikataba muhimu ya kiulinzi pia Mashariki ya kati Marekani anafurushwa kama mbwa na Russia na Iran ndio vinara eneo hilo.

Dunia itaenda kushuhudia mabadiliko makubwa hakutakua na taifa linaloweza kuipangia Dunia au Taifa cha kufanya...kama hivi sasa tunavyoshuhudia hata Uganda anamdindia US ameiwekea vikwazo Uganda kwenye mkataba wa biashara wa AGOA na EU kuibania misaada Uganda.

The most influential army on each geopolitical zones:

Europe: The Russian Army
America: The US Army
Asia: The PLA of China
Middle East: The Russian Army
S.America: The Russian Army(soon)
Africa: The Russian Army

In 2yrs;
– We have kicked the French out of Africa and signed multiple security contracts with the African nations

– We backed by the Iranians and Syrians in the Middle East have somehow influenced the withdrawal of American troops from the region.

– South America, once Americas backyard is becoming more open to Russia and China, preferring a military alliance with Russia than the US.

When people say we lost support from the "world", I just laugh :)
 
Amka mzee, zelensiky anawamaliza vijana wa super power, mpaka kufikia mwishoni mwa mwezi ujao watakuwa wamechinjwa warusi zaidi ya laki nne🥱🥱🥱

N.B.si vibaya kujifariji!
1706256141952.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Amka mzee, zelensiky anawamaliza vijana wa super power, mpaka kufikia mwishoni mwa mwezi ujao watakuwa wamechinjwa warusi zaidi ya laki nne🥱🥱🥱

N.B.si vibaya kujifariji!View attachment 2883273

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Super power wa mchongo USA kaanza kulialia kwa China imasaidie kuwaomba Iran waache kuisadia Yemen
| US asks China to ask Iran to ask Ansarullah of Yemen to reduce their attacks
 
Ambassador to South Africa Ilya #Rogachev:

In the ‘rules-based world order’ pushed by the #US and its satellites, sovereign equality of states has no place.

There’s only one neo-metropole represented by the collective #West (the ‘Garden’ according to HR/VP Josep Borrell) imposing its will upon neo-colonies represented by the rest of the world (the ‘Jungle’).

tinyurl.com/2aseef75
IMG_20240126_135849.jpg
 
Nigerians Accuse France Of Sponsoring Boko Haram In Re-Colonization Plan youtu.be/1zkq-xiBh2c?si… via @YouTube.View attachment 2883300
Mtu yyt mwenye akili timamu lzm atajua kuwa Boko haram ni jeshi la makafiri.
We wapi umewahi kusikia Watu wanateka Shule nzima ya watoto 700 kisha wawapakie kwenye Mabasi zaidi ya 10!
Halafu wapotee na mabasi yote pamoja na wanafunzi 700 bila kuonekana kwa miezi mpk miaka.

Na wawe na uwezo wa kupata silaha kali mpk za kuangusha ndege bila kuwa na kitega uchumi au mradi wwt wa kuingiza pesa.

Anaeamini kuwa Bokoharam ni wajinga flani njaa walioko porini bila support ya makafiri huyo anahitaji msaada wa daktari wa akili haraka sana.
 
"All NATO partners and the European Union need to “get together” and provide even more funding to Ukraine.
If Putin wins in Ukraine, there is a risk that he will “use force” again" - Stoltenberg

This is how Stoltenberg sees the situation. And I can say that if NATO wins, then Putin will use force guaranteed, with a % guarantee. And this force will be measured in hundreds of megatons in TNT equivalent. Place your bets gentlemen, make your choice.

t.me/vicktop55/20642
IMG_20240126_142735.jpg
 
Mtu yyt mwenye akili timamu lzm atajua kuwa Boko haram ni jeshi la makafiri.
We wapi umewahi kusikia Watu wanateka Shule nzima ya watoto 700 kisha wawapakie kwenye Mabasi zaidi ya 10!
Halafu wapotee na mabasi yote pamoja na wanafunzi 700 bila kuonekana kwa miezi mpk miaka.

Na wawe na uwezo wa kupata silaha kali mpk za kuangusha ndege bila kuwa na kitega uchumi au mradi wwt wa kuingiza pesa.

Anaeamini kuwa Bokoharam ni wajinga flani njaa walioko porini bila support ya makafiri huyo anahitaji msaada wa daktari wa akili haraka sana.
Wafaransa wameumia sana kufukuzwa na wanaanda hila kulipiza

Africa sellout president
#France_Afrique : @EmmanuelMacron summons @AOuattara_PRCI Hassan Quattara of Ivory Coast and @officialABAT Tinubu of Nigeria to Paris
France is not giving up in the standoff between Niger, Mali and Burkina Faso.
This Thursday, January 25, the presses in Abidjan and Abuja announced the departure for the French capital of the Ivorian and Nigerian presidents for “private visits”. It is to make fun of African opinion when we know that, in the current context, these two heads of state of the most imposing countries of West Africa, unconditional allies of France, cannot stand together. go to Paris just to have a coffee.

The truth is that they were “summoned” for a course of action. France has already developed its plan to destabilize Niger and the AES. Tinubu has already given his agreement for the installation of a French military base in the northwest of the country. The Hausa - Fulani - Kanuri elites are fundamentally against it. As for Ouattara, reigning supreme in the Ivory Coast, he has carte blanche to welcome the mercenaries and the equipment which will be used to sow chaos in the Sahel. This is already done according to several commentators.

France's entire "revenge plan" will undoubtedly be on the menu of the secret discussions which will take place between Emmanuel Macron, Alassane Ouattara and Bola Tinubu.

God is in control and Africans are more vigilant than ever.
The Breath of Maradi
IMG_20240126_144917.jpg
 
Yaani wakuu badala tupige kelele sukari imefika 5000 na umeme hakuna nyie mnagombana US na Russia nani ana jeshi kali dah.

Hivi ubora wa jeshi la Russia au China au Ukraine unasaidiaje maisha ya mTanzania aliye Nanyumbu saa hizi Masasi kule ambae mtoto wake kafa na Marelia pale Ndanda hospitali na anaambiwa hakuna kutoa maiti akazike hadi alipe deni la dawa alizotumia marehemu
 
Mtu yyt mwenye akili timamu lzm atajua kuwa Boko haram ni jeshi la makafiri.
We wapi umewahi kusikia Watu wanateka Shule nzima ya watoto 700 kisha wawapakie kwenye Mabasi zaidi ya 10!
Halafu wapotee na mabasi yote pamoja na wanafunzi 700 bila kuonekana kwa miezi mpk miaka.

Na wawe na uwezo wa kupata silaha kali mpk za kuangusha ndege bila kuwa na kitega uchumi au mradi wwt wa kuingiza pesa.

Anaeamini kuwa Bokoharam ni wajinga flani njaa walioko porini bila support ya makafiri huyo anahitaji msaada wa daktari wa akili haraka sana.

Pamoja na hayo, inasemekana wanapewa na mimba, hawa wasio na dini kila wanacholetewa wao ni kupokea na kuamini hapo hapo, nasubiri siku moja atokee kafiri from nowhere awaambie MAMA SAMIA NI GAIDI! yani hawa watu ni wepesi sana kuamini.
 
Kafiri yyt anaingia vitani kwa kufuata posho na maslahi ya dunia.
Hakuna Kafiri hatta mmoja akapigana kwa moyo wote kutetea nchi yake au watu wake ndo maana tunaona wanajeshi wa Israeli wanalia mbele ya camera. Wengine wametoroka wamejificha hawataki kwenda vitani. Na wengine wamekatwa kwa nguvu na kupelekwa vitani.

Tazama watoto wa baba.
Silaha za kubumba mitaani.
Lkn huwezi kuona wanalalamika au wanaombwa kuja vitani.
Mpk kina mama wamejiunga na wapambanaji.

Sasa hawa wayahudi wa bonyokwa na pugu kelele zao zoote ni hapa JF. wakiwa mtaani huwezi kuona hata mmoja anafungua mdomo manake wanajua watapata kichapo kitakatifu.
 
Back
Top Bottom