IQ Yako ndogo,tungesema tuipime hata 67 usingefika(below the line for mental retardation)..
Watanzania wote wenye akili timamu(kasoro nyinyi below 67)wanataka changes,hao uliowataja hawajawahi kuchaguliwa na Yeyote kua viranja wa kudai mabadiliko,And harakati za kudai mabadiliko sio lazima yaletwe na Mwanasiasa au msomi,Mara ngapi Mbowe alitaka maandamano akatoka yeye na Binti yake?Lissu?..What about now?Lissu yupo Jela,Mbowe hajulikani alipo...
Mapinduzi ya nchi za kiarabu yalianza Tunisia na muuza mbogamboga masikini Mohamed Bouazizi nchi za kiarabu zikasimama..
At this point,sio Dangwa tu au Mange,Hata shetani mwenyewe aseme HAITAKI CCM,wote tutaungana na ibilisi,.