Kwa nn huyu dada wa kawaida sana afanye makubwa ya kijamii na kisiasa kuliko wao na ma vyeo yao na hela za serikali na elimu zao na bully pulpit ( platform) zaoooo ???
Na hivi karibuni kiuandishi wa habari pia, amewafunika.
Hakuna mtu amewahi kutaarifu na kuchambua mfumo wa jeshi la Tanzania na sababu za madhaifu yake tokea lianzishwe.
Namely:
1. Watu chini ya CDF ( Mnadhimu pamoja na Mkuu wa Inteligensia jeshini - yule aliyekuwa Aide De Camp wa Kikwete) wana nguvu kuliko CDF kwa saab wana direct line of communication na Ikulu
2.Silaha zilitapanywa na Nyerere kulihasi jeshi.
Andrew Nyerere, fighter jet pilot and combat veteran of JWTZ, akasema nimekubali. Baba alifanya makosa.
Only Mange Kimambi, sitting in a California kitchen table office with a cellphone camera and a keyboard could elucidate such profound military inteligence insight and analysis, and the historical context behind the castrated state of Tanzanian military.
Hili linawasumbia sana watu wengi wenye kihoro na Mange.