Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

NAOMBA CHANZO CHA HABARI YAKO HII!!!
Anzia hizi za karibu za EAC then nenda za jirani zetu za kiafrika kama Botswana, South Africa,Namibia etc. Kabla hujaendelea utakuwa umepata jibu zuri tu. baadaye songa mbele hadi zingine itakusaidia
 
Nchi hiyo kwa Mtanzania ni lazima upate viza.
Ndo nilivyosema Policy hubadilika kila wakati. Ni vizuri mtu apate habari ubalozini kabla ya safari.
Before hatukuhitaj iVisa kuingia Indonesia.
Shukrani.
 
Anzia hizi za karibu za EAC then nenda za jirani zetu za kiafrika kama Botswana, South Africa,Namibia etc. Kabla hujaendelea utakuwa umepata jibu zuri tu. baadaye songa mbele hadi zingine itakusaidia
Ok,ngoja nianze
 
Ok,ngoja nianze
Nakutakia utafitimwema. Pengine utatuongezea maarifa pia. Tukohapa kuelimishana.
Hamna yeyote anayejifanya anajua kila kitu.
Napenda kujifunza mabomapya toka kwa watu wengine.
 
Hongkong japo hawana Viza lakini ni wasumbufu wakubwa hasa kwa wazanzibari na watanzania kwa ujumla wengi wamewahi kurejeshwa uwanja wa ndege wakiwa na pesa zao pasipo kupewa viza, ni vyema ujulikane utaratibu mapema kuliko watu kufunga Safari hadi hongkong kisha unarudishwa Airport
Wanaokamatwa ndio wanaoharibu sifa ya nchi hii
 
Wanaokamatwa ndio wanaoharibu sifa ya nchi hii
Ni kweli. Wengine wana Pasipoti ila HAWANA cheti cha CHANJO ya Homa ya Manjano/Yellow fever hata hapa kwetu hutaruhusiwa kuingia nchini. Ni sheria za kimataifa.

Huruhusiwi kuwa na dawa za usingizi za kundi la Benzodiazepines kama vile VALIUM hata kama ni vidonge viwili , Bila prescription ya Daktari.

Na hata vidonge vingine vya kutuliza maumivu kama TRAMADOL/Brand name ULTRAM. Hizi nazo ziko kwenye group ya OPIOID maana mchanganyiko wake unatokana na dawa za kulevya aina OPIUM/Dawa za kulevya.
Nchi zingine hiyo ni hatari sana unaweza kufungwa kabisa.

Maana zinakuwa classified kama Dawa za kulevya.
Ni vizuri mtu anajisomea kwanza ajue huko aendako. Je nini naruhusiwa na nini siruhusiwi kuingia nacho. Kando ya cheti cha CHANJO,
 
Wana JF katika kuelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ kuwa na Habari/TAARIFA ni sawa na kuwa na nguvu KUBWA.

Maranyingi Watanzania hatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu.

Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizi ni BAADHI ya nchi ambazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival/Wanapowasili. Nchi hizo. ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azerbaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
madagasca hatuingii na visa lakini tunakazimika kulipa dola 28 us airport ili waweke entry,,,sasa sijuwi hyo ni visa au kitu gani,,tena kwa mwezi mmoja dolar 28,,,miezi miwili dola 56 us,,nk
 
Tembelea Philippines, kuna raha sana. Maisha rahisi na wanawapenda sana watu weusi na has a toka Tanzania.
Ila tahadhari, ukikutwa na mihadarati, ni risasi tu. Yule Raisi wao Durtente, hana msamaha kwa wauza unga.
Mkuu

Ahsante kwa taarifa!kama kuna cha zaidi ongezea,nitafaidika sana
 
madagasca hatuingii na visa lakini tunakazimika kulipa dola 28 us airport ili waweke entry,,,sasa sijuwi hyo ni visa au kitu gani,,tena kwa mwezi mmoja dolar 28,,,miezi miwili dola 56 us,,nk
Ni kama ka KODI fulani hivi. Unajua ni nchi maskini kiasi. Na wana DESTURI na MILA ya KIAJABU AJABU!!!!
 
Back
Top Bottom