Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Wana JF katika kuelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ kuwa na Habari/TAARIFA ni sawa na kuwa na nguvu KUBWA.

Maranyingi Watanzania hatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu.

Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizi ni BAADHI ya nchi ambazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival/Wanapowasili. Nchi hizo. ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azerbaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!

Mbona nchi zenyewe ni zile zisizo vutia?
 
Mkuu iyo D.R.C umechemka. Bila dola 50 bado haujaingia kongo, Unarudishwa kwenu fasta. Weeeee
 
Kikawaida HUHITAJI.
Ila kizuri cha kufanya uliza UBALOZINI mwao ili upate kila habari muhimu.
Kama watakupa Visa ukiwa hapa nchini ama watakuandikia barua toka ubalozini.
Asantee
 
Nchi zipi nje ya East Africa unaenda bila passport??
Hamna nchi yeyote utaruhusiwa kuingia bila pasipoti. Hata East Afrika SISI Tanzania tulikataaa mchezo huo wa huingia nchini kiholela kutumia vitambulisho in the name of Free movement.
Pasipoti ni document muhimu KIMATAIFA ili kujua wewe ni raia wa nchi gani.
Pia kwa nini usichukue pasipoti amabayoni HAKI yako kama raia wa Tanzania?
Kwa nini ufikirie kwenda nchi nyingine bila pasipoti?

Na pasipoti si helanyingi mkuu.
Ukisha pata Pata tena CHANJO ya Yellow Fever/Homa ya Manjano maaana unaweza kuwa na pasipoti kama huna chanjo unawezakurudishwa ulikotoka.
 
Hongkong japo hawana Viza lakini ni wasumbufu wakubwa hasa kwa wazanzibari na watanzania kwa ujumla wengi wamewahi kurejeshwa uwanja wa ndege wakiwa na pesa zao pasipo kupewa viza, ni vyema ujulikane utaratibu mapema kuliko watu kufunga Safari hadi hongkong kisha unarudishwa Airport
Inawezekana pia watu wanasahau kuwa PASIPOTI bilakijitabu cha CHANJO ya Homa ya Manjano/Yellow Fever lazima utarudishwa tu.
 
Hii nimeipenda hizi ni fursa ambazo watanzania wengi hatukuwa tukizijua
Ila kumbuka kijitabu cha CHANJO ya HOMA ya MANJANO/Yellow fever kuwa umepata chanjo uwe nacho.
Bila hivyomtu atarudishwa.
 
Wana JF katika kuelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ kuwa na Habari/TAARIFA ni sawa na kuwa na nguvu KUBWA.

Maranyingi Watanzania hatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu.

Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizi ni BAADHI ya nchi ambazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival/Wanapowasili. Nchi hizo. ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azerbaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
NAOMBA CHANZO CHA HABARI YAKO HII!!!
 
Hii nimeipenda hizi ni fursa ambazo watanzania wengi hatukuwa tukizijua
Pia katika kuongezea ni Kando ya kuwa na Pasipoti nilazimaupateCHANJO ya HOMA ya Manjanokabla ya kusafiriNA UWE NA HAKO KAJITABU ka chanjo.
 
NAOMBA CHANZO CHA HABARI YAKO HII!!!
Ni swali zuri sana.
Tafadhali nimekupa habari nawe fanya upande wako.
Kwa mfano pitia nchi moja moja na upate habari kati ya nchi ya Tanzanaia na nchi hizo nilizozitaja.
Nimekupa info. do the rest.
 
Back
Top Bottom