Aisee! Basi hongera.Nimepata pakuhamia , asante muazisha uzi
Aisee! Basi hongera.Nimepata pakuhamia , asante muazisha uzi
AhsantePia Ivory coast
Kwa kuwa mambo hubadilika na kikla uongozi. Ni vizuri kupata habari tu toka ubalozi wao.Egypt inataka Visa mkuu
Kupanga ni kuchagua,Hapo Nchi kama 4 au 5 tu za kWenda nyingine bora ubaki kwa Baba John
Ahaa! Sikujua hilo.Nchi zote za hovyo tu except kenya na SA
Hata Singapore ulimwengu wa kwanza. Kwako ni hovyo?Nchi zote za hovyo tu except kenya na SA
Shukrani mkuu.Hii nimeipenda hizi ni fursa ambazo watanzania wengi hatukuwa tukizijua
Utajiri wake ukoje?Mnh nchi zingine ni kama kijiji tu
Mfano British virgin island watu 28000(elfu ishirini na nane) hii si inaweza kulingana na kijiji cha ibutamisuzi?
Mahali penye nyota ni kuwa UJUE kwanza mabadiliko yeyote yale. Pata habari kabla ya safari.Mkuu kuna nchi kama libya na égypt umeweka star [emoji93] sasa sijui kuna nñ???
Pia kuna baadhi ya nchi huja ídeñtify siku za kuishi. Je hii ina màana unaweza kaa huko kwa muda gani au kuna vigézo gani
SijakuelewaMahali penye nota ni kuwa UJUE kwanza
Yaani kama kuna mabadiliko kadhaa. Maana wakati mwingine tawala zinapobadilika policy nazo huenda zikabadilika.Sijakuelewa
Sawa mkuu. Na hizo nchi ambazo huja identify siku inakuwaje???Yaani kama kuna mabadiliko kadhaa. Maana wakati mwingine tawala zinapobadilika policy nazo huenda zikabadilika.
Mfano Libya sasa. Wanauza watu weusi ndo maana kuna nyota.
Pia nitashukuru kukusaidia ukiwa na swal ikwa KADRI ya uwezo wangu.Sijakuelewa
zote ni kutoka siku 30, 60 mpaka siku 90Sawa mkuu. Na hizo nchi ambazo huja identify siku inakuwaje???
Jina linafikirisha sana. Na unaweza kukuta hapo waliwahi kukaa mababu zetu na kutoa hilo jina ili tujue kwamba ni wenzetuKwa nini umeipenda mkuu?
Hebu tujuze nasi,