Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

itabidi kuwe na utaratibu mpya wa wanaotoka mkoani kuingia dar wawe na viza
 
Asante mkuu kwa bandiko lako ,fursa hizo tuchangamke aisee
 
Hakuna nchi unaingia bila Viza. Labda kukufahamisha kidogo ni kwamba Viza ni ruhusa inayotolewa na mamlaka husika kumuwezesha raia wa kigeni kuingia katika nchi hio kwa muda maalumu usiozidi siku tisini au zaidi kutegemeana na sheria za nchi husika.

Visa inaweza ikawa katika mfumo wa mhuri (Entry Stamp), Karatasi (Sticker) au eVisa (ya kieletroniki). Kuna aina tofauti za Viza kutokana na nchi na nchi, mfano hapa Tanzania wageni hupewa Holiday Visa, Business visa, na Transit Visa kutegemea anakuja kufanya nini.

Kuna makundi mawili ya Utolewaji wa Visa, kundi la kwanza ni Referral Visa ambayo hutolewa kabla mgeni hajaingia nchini, hii hutolewa aidha ubalozini au uhamiaji makao makuu. Kundi la pili ni Visa On Arrival, hii hutolewa pale unapofika entry point mfano airport au border, huhitaji kufanya maombi ya visa kabla.

Hope nimeeleweka.
 
china au united state nadhan wakat umefika nao waingie katika kundi hili maana hawa watu ni marafiki wetu kwel kweli wengine hadi wako kariakoo wanauza vyombo na maua reja reja
Madawa ya kukevya, ugaidi na kutokurudi vinatuponza
 

​
Kuna utaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji Visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.

Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.

Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.

Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe

Nyingine hizi hapa
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Lesotho
Libya
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe

In the case of Egypt, travelling without visa applies only if touring the Sharm el sheikh resorts.
kumbe Maldives hatuendi na Visa... safi sana next Holiday patahusika
 
Back
Top Bottom