Hata usitamani.Hamna chochoye huko mkuu.Vipi North Korea?
Wakiamua kukubandikia kuwa umeenda huko kufanya ujasusi hapo ndo hutarudi tena. Ndo mwisho wako.
Hawana second thought/Wazo la pili
Hata usitamani.Hamna chochoye huko mkuu.Vipi North Korea?
Mbona wao wanakuja kwetu kutafuta nini?Kwa mfano ww KOSOVO unaenda kufanya nini??? Au azbejkstan
Nashukuru mkuu.Tunashukuru kwa yote
Ni rahisi sana kwa Mtanzania kupewa Visa ya Marekani kuliko jirani zetu wengine katika ukanda wetu wa A. MasharikiHata wamarekan hawatuamini?
Luginyo, kwa nini ni shida tupu kuwa Mtanzania?Kuwa mtanzania sio ishuu tena shidaaa tupuuu
Tunaona kwenye TV wakiuza watu kama watumwa.Nitashangaa. Labda wewe una habari za ndani?Libya c pazuri kwa sasa
Sijui kama nilikujibu sawasawaa ma nilikosea.Libya c pazuri kwa sasa
Njaaaa Kali au mwenzetu ndio tuseme una shibe?anyway kiukweli I'm not proud nowadays to be Tanzania afadhali nihame nchi Jana nilisema tz sio mama yanguLuginyo, kwa nini ni shida tupu kuwa Mtanzania?
Nakuelewa sana na zielewa changamoto zetu. Ushauri wangu ni kuwa, Tuvumilie. MEMA yamo njiani.Njaaaa Kali au mwenzetu ndio tuseme una shibe?anyway kiukweli I'm not proud nowadays to be Tanzania afadhali nihame nchi Jana nilisema tz sio mama yangu
Ni kweli Philipine ni nchi nzuri. Hata ada ya masomo ni rahisi. Na watuni wazuri. Tatizo moja tu,GAP kati ya maskini na MATAJIRI ni kubwa na ni aibu.Tembelea Philippines, kuna raha sana. Maisha rahisi na wanawapenda sana watu weusi na has a toka Tanzania.
Ila tahadhari, ukikutwa na mihadarati, ni risasi tu. Yule Raisi wao Durtente, hana msamaha kwa wauza unga.
By the way wewe ulikuwa unafikiri ni nini??????Kwani hong kong ni nchi?
Sababu??South Africa na Kenya nakataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Upi mkuu? Hebu tujuzeRwanda kama nilisikia wanabadilisha utaratibu...?
Unaweza kutumiaMkuu international flight sio kama fastjet za Dar-Mwz hizo route ni shida sana neenda kwenye mtandao uulizie route ya Dar - Cambondia. then come back and tell us.
Bado tunauelewano niliousema.Jordan sio kweli, unaapply pre-visa na ukifika airport unakata ,
Hizo sio Nchi ndugu yangu...ni JehanamKwani hujaona Antiqua hapo au Cambodia?
Hii hapa mkuu mpaka Cambodia siku moja tu na nauli haizidi dolla 700Mkuu international flight sio kama fastjet za Dar-Mwz hizo route ni shida sana neenda kwenye mtandao uulizie route ya Dar - Cambondia. then come back and tell us.