Hizo nchini Jehenamu kwa vipi?Hizo sio Nchi ndugu yangu...ni Jehanam
Na kama sio nchi, Je,Singapore ama Hong Kong zinaweza KULINGANA na Tanzania?
Na kama hizo SI nchi je nini?
Pengine unaweza kutuelimisha zaidi.
Jaribu kuwa na ufahamu wa mambo na Jiografia kwanza kabla yahujajibu hoja yeyote.