Mkuu nina mpango kuja kupiga shule winnipeg university mwakani Mungu akijalia
Mkuu nina mpango kuja kupiga shule winnipeg university mwakani Mungu akijalia[/QUOTEh
Inawezekana sana. Ingawaje nchi NZURI katika MASOMO ni nchi ya Czech Republic. Ada ni NAFUU sana sana. Hata Maskini anaweza kujilipia. Pamoja na hayo scholarship ni tele!!!!!