Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Rwanda kama nilisikia wanabadilisha utaratibu...?
 
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia

Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Nimeipenda hiyo nchi namba 60 -Niue
 
daaaaah umenifumbua maskio aiseee...nakunipanua kifkra...huu Uzi nitaunote ili niutendee haki...
kumbe tunafursa kubwa Hivi...maaana kutembea nisehemu kubwa yakujifnza
 
mhhhhh!!! mbona hamna nchi hata moja ya maana zaidi ya Kenya???
Kenya ni nchi au majirani zetu?

Ili iwe nchi ni lazima kwanza muwe hamupakani nayo na pili iwe ni lazima uende kwa usafiri wa anga safari isiyopungua masaa ma 3 angani.

Nchi nyingi katika hiyo list ni vituo vya watalii kwahiyo hawana sababu ya kuwawekea vikwazo kama viza...wanahitaji uwapelekee dollari maana wao ni masikini.
 
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia

Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Mi nafikiri tatizo watanzania hawaoni fursa
 
daaaaah umenifumbua maskio aiseee...nakunipanua kifkra...huu Uzi nitaunote ili niutendee haki...
kumbe tunafursa kubwa Hivi...maaana kutembea nisehemu kubwa yakujifnza
Ni kweli kabisa. Watanzania tunafursa,Na kujulishana kunapanua ufahamu.
 
Mkuu ziko. Risk takers/ Wajasiri ndo hufanikiwa.
Ok I will start to make further progress and preparations Mkuu. Hata km siyo nchi hiyo but nchi yoyote ile ya Bara Jingine ni muhimu kukanyaga.... that's My Aim.
 
Nakubaliana nawe, Sisi Watanzania huridhika na vitu vidogo sana, Pengine pia ukosefu wa Taarifa /Information

hili LA taarifa ndio ambalo linatumaliza ..Taarifa kama hizi hazitufikii zinaishi mbali nasisi...so imekuwa nivigum kukutana nazo ...nakama mnavyojua jamii kubwa ya watanzania ni jamii ya watu wavivu wasio penda kuwa na ufuatiliaji na uchunguzi wamambo...mwisho wasiku tunajikuta tunaish mpka kufikwa na umauti pasipo kuitambua dunia vyema
 
Hilo ndo tatizo letu Watanzania, Nafikiri ni wakati wa kuamuka toka usingizini.
 
Ndiyo mkuu ni maskani wa Mali lakini sio masikini wa Roho! Niliwaona ni watu wastaarabu sana ndio maana watalii wengi! Watz sisi tunaustaarabu wa kinafiki kwa wageni! Ujanja ujanja mwingi na wezi tunao wengi sana kwa wageni
Nakuelewa, Na hao Watanzania walio na tabia hiyo ya ujanja ujanja ndo wanatuharibia. Nimekuelewa mkuu. Nepal hata unaweza fanya kazi katika mahoteli ya kitaliii whenever necessary,
 
Back
Top Bottom