Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Kuwa mtanzania sio ishuu tena shidaaa tupuuu
Hapo SITAKUBALIANA nawe. Tanzania ninchi nzuri sana. Acha mbali tofauti ndogo ndogo za kisiasa.Maana katika demokrasia tofofauti za kisiasa na mitazamo niya kawaida SANA.
 
Hapo SITAKUBALIANA nawe. Tanzania ninchi nzuri sana. Acha mbali tofauti ndogo ndogo za kisiasa.Maana katika demokrasia tofofauti za kisiasa na mitazamo niya kawaida SANA.
Kutokubaliana na Mimi sio dhambi nachosema sioni Mimi uzuri kwa sasa labda unifungue Macho au Yale Magari ya mwendokasi?
 
Mkuu si ulizaliwa Tanzania?
Ni kweli nilizaliwa tz sema kwa sasa Nina option ya kubadili uraia na.kuwa mswisi ndio.maana nasema sioni kizuri, nalinganisha na kule niendako
 
Jiande baridi la kule la kufa mtu mjomba. Wenyewe wanauita mji wao the peg kama jina la utani. Ukiingia mjomba usitoke mpaka kieleweke. Wachumba kibao kule.
 
Back
Top Bottom