Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Jamaica safiiiiiiiiii,nakuja soon tujiachie maana huku wanakaba mpka penati.
 
Nimefanya kazi na wazungu wa kutoka,Australia, UK na hawa wa kutoka kwa Mandela,wazungu wanakuja kwenye project mbalimbali Africa hata hapa kwetu TZ lakini unashangaa mzungu hajui kitu,wewe aliyekukuta huku unakuwa mwalimu wa kumfundisha kila kitu,wengine hata kujiamini hawajiamini waoga tu kama sisi,wao pia ukikuta shule hana majungu mtindo mmoja kama waswahili tu wivu mwingi sana hasa akiona una shule hafu madude yanapanda,wengi wao wanajitukuza kwa ajili ya ngozi yao na kuamini kwamba huku Africa sisi wote ni wachinga,ila ukiwa na shule hafu madude yanapanda siyo mbabaishaji unajiamini kwa kazi zako na kazi zako ni safi,lazima akuongope na kukuheshimu sana.
jambo moja nikuwaonyesha hawa jamaa kuwa wewe si inferior mbele yao.
Hapo watakuheshimu.
Wengi walishajua UDHAIFU wa watu wenye ngozi nyeusi kuwa wanawaonaga Wazungu kuwa ni superior zaidi na hivyo wanachukua advantage ya huo udhaifu na hivyo kuwanyanyasa. Ukikataa kunyanyaswa lazima tu wanakuheshimu, Na hawana namna mkuu.
 
Mkuu hii Bahamas inaruhusu kukaa kwa mda gani? Ni moja ya visiwa ambavyo natamani sana kutembeleamo siku moja!
 
Nchi zote za kibwege hizo..hamna hata nchi ya maana ktk hiyo list..piga ua upate visa ya Canada uje kula maisha..
 
Nikitoka Hawaii nina mpango wa kuelekea Micronesia aisee...hasa hasa Chuuk state!
 
Duh! Aisee.Penye nia pana njia

kuzuri sana mkuu! Nimekutana na watu kadhaa wa huko nimeshawishika kabisa. Si mbaya kwenda kuishi japo miaka mitano nikitafakari next destination.

Nilishajiamulia kuwa a citizen of the world nashukuru kwa JF bado napata habari za nyumbani inasaidia kupunguza kumiss bongo.

Anyway, napenda sehemu safe zenye rate ndogo za rushwa. Najua utanitajia scandinavian countries ila sitaki kwenda nchi ambayo wanakuona una dhiki mpaka uwalambe viatu. Kuna nchi nyingi sana nzuri ambazo zinaku-appreciate kama binadamu zaidi.
 
Nchi zote hizo maskini.. Nchi tajiri visa lazima.. Ila nchi tajiri kwa tajiri raia wao wanaenda bila visa au hawakaguliwi sana.. Hivyo nchi maskini kwa maskini visa almost hakuna.. Nchi tajiri kwa tajiri visa almost hakuna ni documents tu unatakiwa kuwa nayo wakati wa kuingia... Tatizo utoke nchi maskini kwenda nchi tajiri, utakaguliwa documents utadhania ww ni terrorist, ndio wa issue visa
Si kweli mkuu.
 
Nchi zote za kibwege hizo..hamna hata nchi ya maana ktk hiyo list..piga ua upate visa ya Canada uje kula maisha..
Kuna jambo moja bado linanichanganya mkuu,
Mtu mwenye visitor visa anaweza vipi ku extend ukaaji hapo?
 
kuzuri sana mkuu! Nimekutana na watu kadhaa wa huko nimeshawishika kabisa. Si mbaya kwenda kuishi japo miaka mitano nikitafakari next destination.

Nilishajiamulia kuwa a citizen of the world nashukuru kwa JF bado napata habari za nyumbani inasaidia kupunguza kumiss bongo.

Anyway, napenda sehemu safe zenye rate ndogo za rushwa. Najua utanitajia scandinavian countries ila sitaki kwenda nchi ambayo wanakuona una dhiki mpaka uwalambe viatu. Kuna nchi nyingi sana nzuri ambazo zinaku-appreciate kama binadamu zaidi.
Nakuelewa sana mkuu.
 
Kuna jambo moja bado linanichanganya mkuu,
Mtu mwenye visitor visa anaweza vipi ku extend ukaaji hapo?
Kama una sababu ya kuendelea kwa siku kadhaa ni LAZIMA uende uhamiaji siku chache KABLA ya Visa kuisha, Kwa kifupi INAWEZEKANA
 
We ukiingia hapa unapata akili mpya..mambo ya kuextend utayadili ukiwa hapa..na ukiingia hapa hata hayo mambo ya kuextend visa unaachana nayo, utafikiria jinsi ya kupata makaratasi ya kudumu. Jimwageni ndugu hapa. Jimwageni tuwe wengi. Bichi tamu sana hili makamanda.
 
Back
Top Bottom