Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

Habari wanajf

Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,

Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,

Nimekosa machaguo kabisa,

1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.

Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Kitambi kutoka ni ngumu brother, ila huwa kinakuja kwa urahisi sana.
 
Tunakula sana ma vyakula ya wanga kupitiliza, mwaka mzima ni ugali wali, tutaachaje kupata vitambi

Inahitaji discipline ya Hali ya juu ya mazoezi na uchaguzi sahihi wa diet, la sivyo ni kitambi pro max
 
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Food4Thought: Muda utakaotenga kwa mazoezi maalum ndio ufumbuzi, Nimeanda mini-documentary hii hapa.

​
Punguza vyakula vya wanga na upunguze milo, kutoka mitatu hadi miwili

Lakini jitahidi ufanye mazoezi yanayokata tumbo

Punguza kula.
Punguza kutumia vyombo vya moto vya usafiri.
Tembea angalau kilomita 8 kwa siku.

Punguza wanga na masukari. Shukuru unene wako unakuja na kitambi, kuna ambao wamejaliwa makalio.
 
1790437032443.png
 
Maisha yenyewe ni haya haya tu! Mnahangaikaaa! Ooooh punguza mawanga, punguza masoda, punguza masukari! Pumbavu kabisa!
 
Habari wanajf

Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,

Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,

Nimekosa machaguo kabisa,

1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.

Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Hakuna namna mtu anaweza kupungua tumbo kisha sehemu zingine zibaki vilevile.

Umesema unafanya mazoezi, unafanya mazoezi gani? Kwa wiki unafanya mara ngapi? Kwa siku unafanya kwa muda gani?

Unafanya mazoezi na trainer? Una muda gani tangu uanze mazoezi?

Lifestyle na ulaji uliokua nao mwanzo umebadilisha?
 
Habari wanajf

Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,

Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,

Nimekosa machaguo kabisa,

1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.

Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Detox tea
Detox water
Halafu endelea na mazoezi
 
True sisi WAZEE WA kilaji kimtindo kwa kweriiiii ☺️😊
Zinaongeza sana unenne hizo mambo

Mimi Kuna time nilijipa likizo kutogonga mdudu, na kula vyakula vya kuchemsha sana

Nilijikuta uzito ulipungua kwa 5% hivi

Japo njia ya uhakika kupunguza uzito ambayo haishauri ni stress

Iwe ya kipato ama kimahusiano, siku chache tu unakuta kilo 15 zimekata 🙌
 
Back
Top Bottom