lose yourself
Member
- Sep 3, 2026
- 16
- 26
Ni sawa na kusema nawezaje kutembea bila miguu🤣🤣
Mbona unakuwa umepunguza budget, chai bila sukari, mchana unakula kidogo jioni hauli kabisa au matunda ya buku yanatosha au kongoro/supu kavu..sehemu za kawaida ambapo ulikuwa unatumia usafiri inabidi utembee kuzitafuta 10km...Kumantain lazima uwe na hela ya mbogamboga Maana Familia hawataki hiyo michemsho ya mboga mboga so budget nyingine iwepo.
Yaani Wewe ni mwendo wa harage, dagaa nyama, mbogamboga, tunda na maji kwa wingi chai unaachana nayo.
Maandazi, chapati, vitumbua na vitafunwa vya wanga na mafuta tupakule
Ishi maisha yako Ndugu, Acha kutokwa na mishipa bure, kwani mtu akila wewe inatuhusu nini?Muongo wewe, ulaya watu hawali hovyo hovyo tena hawajui hayo maugali na wapo makini sana na lishe bora, umelishwa maneno ya vijiweni na wewe ukaingia kingi. Ulishawai kuona rais au hata mawaziri wa nchi za Ulaya wana vitambi?? waafrika mnakula hovyo hovyo sana na tena asilimia 95 ya mavyakula ni wanga tu ndio maana hata life span yenu ni ndogo 60 tu mtu kachoka balaa na anaitwa mzee wakati nchi za ulaya huyo mtu bado kabisa anadai.
Cha kuongezeaMuongo wewe, ulaya watu hawali hovyo hovyo tena hawajui hayo maugali na wapo makini sana na lishe bora, umelishwa maneno ya vijiweni na wewe ukaingia kingi. Ulishawai kuona rais au hata mawaziri wa nchi za Ulaya wana vitambi?? waafrika mnakula hovyo hovyo sana na tena asilimia 95 ya mavyakula ni wanga tu ndio maana hata life span yenu ni ndogo 60 tu mtu kachoka balaa na anaitwa mzee wakati nchi za ulaya huyo mtu bado kabisa anadai.
Fa masihara na mchele wa Kyela nn!Bongo hata wazungu,wahindi na sasa wachina wanakuja wembamba wananenepeana kama nguruwe.
Richard S Mabala alikuja bongo mwembamba tu.
Tafuna tangawizi mbichi kila siku kwa miezi mitatu mfululizo.Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.
Habari wanajf

karibu nikusaidie na nakuahidi tatizo hilo litaisha ndan ya muda mfupi tu... +255686959035Habari wanajf