The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 96
- 375
Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.