The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,572
- 119,700
Urefu na ufupi ni majaaliwa kutoka kwa Mungu,
Ila Kitambi ni juhudi binafsi.
Ila Kitambi ni juhudi binafsi.
Jaribu mkuu kujipa stress kwa mkeo halafu utuletee mrejesho mkuu!Zinaongeza sana unenne hizo mambo
Mimi Kuna time nilijipa likizo kutogonga mdudu, na kula vyakula vya kuchemsha sana
Nilijikuta uzito ulipungua kwa 5% hivi
Japo njia ya uhakika kupunguza uzito ambayo haishauri ni stress
Iwe ya kipato ama kimahusiano, siku chache tu unakuta kilo 15 zimekata 🙌
Upatatikanaji wa chakula kwa urahisi ndio Maana watu wenye vipato vya Kati ndio wenye vitambiBongo hata wazungu,wahindi na sasa wachina wanakuja wembamba wananenepeana kama nguruwe.
Richard S Mabala alikuja bongo mwembamba tu.
Nilipitia stress za kiuchumi, kudaiwa na BenkiJaribu mkuu kujipa stress kwa mkeo halafu utuletee mrejesho mkuu!
Yaa stress ndio kibokoZinaongeza sana unenne hizo mambo
Mimi Kuna time nilijipa likizo kutogonga mdudu, na kula vyakula vya kuchemsha sana
Nilijikuta uzito ulipungua kwa 5% hivi
Japo njia ya uhakika kupunguza uzito ambayo haishauri ni stress
Iwe ya kipato ama kimahusiano, siku chache tu unakuta kilo 15 zimekata 🙌
Ila mkuu kuna miili mingine ni sugu kabisa hata adaiwe kiasi gani husikii akikonda! Huwa nashangaa kabisa!Nilipitia stress za kiuchumi, kudaiwa na Benki
Mbona nilipungua zaidi ya kilo 17
Hizo stress za mke, hadi baadhi ya Wanaume wenzetu wanajiua kabisa yaani 🙌
Stress ni hatari, unaweza ukaacha gari nyumbani ukaanza kutembea kwa miguu huku unaongea peke yakoYaa stress ndio kiboko
Binafsi huwa nakonda kwa stress za hela tuIla mkuu kuna miili mingine ni sugu kabisa hata adaiwe kiasi gani husikii akikonda! Huwa nashangaa kabisa!
Ila maisha haya jamani! Usukumani asubuhi ugali wa mchungaji, mchana ugali na usiku ugali. Wamebadili sana wali nao lazima usindikizwe na ka ugali. Lakini huoni wakinenepeana! Utasema kazi wanazozifanya mbona na Sisi huku mjini tunapiga kazi hizo hizo lakini hatukondi?Chakula ni mchana tu mboga nyingi na kupunguza ugali na ubwabwa, asubuhi green tea na limao au kausha, jioni kula ni vegetable soups, supu no chapati na wanga wa namna yoyote ile na kula mwisho saa 1 jioni.
Mazoezi ni kutembea na siyo kukimbia mwendo wa kasi wastani wa 10km au zaidi kila siku hakuna weekend wala excuse yoyote, mambo ya gym na vyuma achana nayo yanakatisha tamaa na kujiumiza..
Hii vita ni kali sana mimi mwenyewe nipo napambana..
Hakika.Ila Kitambi ni juhudi binafsi.
Sijui kwanini imekuwa hivyoIla maisha haya jamani! Usukumani asubuhi ugali wa mchungaji, mchana ugali na usiku ugali. Wamebadili sana wali nao lazima usindikizwe na ka ugali. Lakini huoni wakinenepeana! Utasema kazi wanazozifanya mbona na Sisi huku mjini tunapiga kazi hizo hizo lakini hatukondi?
15K ndio shilingi ngapi?Kuna Ring linauzwa 15k na bench linauzwa 250k hadi 200k,ukiwa serious miezi mitatu kitambi kinaisha
Mtaka mawili ,moja humponyoka.Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji nijitese hasa, kushinda njaa , mlo mmoja hadi nipoteze uzito, kwani wengine wanaishije?
2.Kuhusu mazoezi nafanya lakini sioni mabadiliko yoyote.
Naombeni muongozo kwenye hili. Asante.