Mkuu Arushaone nikiwaza hata mimi hamna option nyingineMkuu Excellent hata mimi nilimpa charminglady the same solution!
Mkuu Arushaone nikiwaza hata mimi hamna option nyingine
charminglady mwelewa ila ingia na saundi za kumrudisha katikati ya kitanda ili mbu wasimg'ateMkuu basi naomba nipigie ndogondogo kwa charminglady niwe wa ubavu wake. Nitampenda na pia nitamzuia asianguke kitandani.
charminglady mwelewa ila ingia na saundi za kumrudisha katikati ya kitanda ili mbu wasimg'ate
Poa mkuu ngoja niendelee na kazi zangu
anataka ujiuguze kwa muda
aisee kama wewe unalala fofofo unaweza kuingiliwa na rohomtakavitu, ukuje huku kwangu nikuombee upate ulinziha haaa, yaani charminglady upo opposite kabisa na mimi.
mimi kwanza nalalia tumbo (kifudifudi), halafu ninapolala ndo nitaamka hapo hapo.
kama nalala mwenyewe kitandani naweza kaa wiki nzima bila kutandika kitanda na ukiingia chumbani utafikiri kitanda hakikulaliwa. wakati mwingine najiuliza kama nakuwa nimelala au nakuwa nime-RIP?
ukipata mwenza itabidi uwe unalala ukutani ili usianguke, lol!
pole sana kwa kung'atwa na mbu
hayo maombi yako sasa..... hadi wenye starehe? wenzio wanaombea wenye shida tuaisee kama wewe unalala fofofo unaweza kuingiliwa na rohomtakavitu, ukuje huku kwangu nikuombee upate ulinzi
Unamfahamu babake charminglady? Ni watu8 na ukimsemesha tu anaita "baba"!! watu8 anakuja spidi na gobore na measkron na mwiko! Utaweza?
ntakupiiemu! nikiweka hapa invizibo atakuwa vizibo bureee......
pole my cousin ndo hivyo tena si unakumbuka ulivyokuwa mdogo sana ulikuwa unarukaruka kitandani pindi kabla hujalala au umesahau bestito? tena si unakumbuka ulivyokuwa unabiringika upandeupande mpaka nakuokota chini kwani minundu inakutoka kila siku ya muumba, sasa hiyo ndo tabia inaendelea hadi ukubwani my sis hivyo pole sana ila cha kufanya jitahidi ukilala lala upande upande na sio wima
mtafute mwenza halafu awe analala ule upande unaoangukia ili awe anakurudisha
Hivi unaonaje tukiwa kapo?