Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

Noted with thanks!
Poa mkuu ngoja niendelee na kazi zangu

1000174_575643415790888_2132540110_n.jpg
 
Chukua matofali manne (Blocks), yapange mawili mawili kila upande kisha wewe lala katikati yake.... Kabla hujafanikiwa kuyapanda kwenye movements zako basi lazima uamke!!!

Kila la heri..
 
ha haaa, yaani charminglady upo opposite kabisa na mimi.
mimi kwanza nalalia tumbo (kifudifudi), halafu ninapolala ndo nitaamka hapo hapo.
kama nalala mwenyewe kitandani naweza kaa wiki nzima bila kutandika kitanda na ukiingia chumbani utafikiri kitanda hakikulaliwa. wakati mwingine najiuliza kama nakuwa nimelala au nakuwa nime-RIP?
ukipata mwenza itabidi uwe unalala ukutani ili usianguke, lol!
pole sana kwa kung'atwa na mbu
 
Last edited by a moderator:

aisee kama wewe unalala fofofo unaweza kuingiliwa na rohomtakavitu, ukuje huku kwangu nikuombee upate ulinzi
 
pole my cousin ndo hivyo tena si unakumbuka ulivyokuwa mdogo sana ulikuwa unarukaruka kitandani pindi kabla hujalala au umesahau bestito? tena si unakumbuka ulivyokuwa unabiringika upandeupande mpaka nakuokota chini kwani minundu inakutoka kila siku ya muumba, sasa hiyo ndo tabia inaendelea hadi ukubwani my sis hivyo pole sana ila cha kufanya jitahidi ukilala lala upande upande na sio wima

Cousin wacha kabisa... hata nilale mshazari au kona kwa kona asubuhi najikuta pembezoni tuuuu!!! Yaan mechokaje????
 
Yaani nimecheka sana.
Umenikumbusha maamuzi niliyofanya miaka michache iliyopita nilipoamua kurudi shule. Aisee, ile naonyeshwa chumba sikuamini kama ningefit kwenye kitanda kile. Nilijisikia kama nimelala kwenye meza. First few days nilikuwa naota nimeanguka. Lucky me sikuwa nahitajika kutumia neti ila kitu cha kwanza kukipiga picha ilikuwa kitanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom