Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

hahahhaha!
mkuu BAK siku hizi natoa huduma ya maombezi kwa speed na viwango, nna siku ya 2 leo nafunga na kusali askari wa jeshi la polisi tz wote waote majibu mwili mzima.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!! Hili hata mie nitajiunga nawe kwenye maombi. Polisi Magamba wote na mkubwa wao wa kazi wapate majipu machoni yawapofue macho yao wote.

hahahhaha!
mkuu BAK siku hizi natoa huduma ya maombezi kwa speed na viwango, nna siku ya 2 leo nafunga na kusali askari wa jeshi la polisi tz wote waote majibu mwili mzima.
 
Nialike nije nikuporomoshee mapolomoko hutaenda tena pembeni utabaki ktkt ukisubili mapolomoko mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom