Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

Mi nilijifunza kulala kwa heshima kipindi nilipokuwa nalala juu ya ukuta,na mpaka leo nina adabu ajabu katika kulala na usingizi utakaponichukua ndio nitakapoamkia, sisogei hata sentimeta moja...

Hauna twisheni ya hili somo umsaidie ndugu yetu???
 
Nadhani ushauri wangu ndio sahihi kwa kuwa nikiwa upande wa kushukukia yeye anakuwa kati na nyuma kuna ukuta.

Baada ya mwezi mmoja hata nikiondoka atakuwa ameshazoea.

Nimekumiss sana binti, mzima wewe?



We baba we..!!! Mwezi mzima si utamuacha umeshamuambukiza.......
 
Mi nilijifunza kulala kwa heshima kipindi nilipokuwa nalala juu ya ukuta,na mpaka leo nina adabu ajabu katika kulala na usingizi utakaponichukua ndio nitakapoamkia, sisogei hata sentimeta moja...

Hahahaaaaaaaaaaaaa..... Kama sikosei utakuwa mjeda au mpongo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom