Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

ha haaa, yaani charminglady upo opposite kabisa na mimi.
mimi kwanza nalalia tumbo (kifudifudi), halafu ninapolala ndo nitaamka hapo hapo.
kama nalala mwenyewe kitandani naweza kaa wiki nzima bila kutandika kitanda na ukiingia chumbani utafikiri kitanda hakikulaliwa. wakati mwingine najiuliza kama nakuwa nimelala au nakuwa nime-RIP?
ukipata mwenza itabidi uwe unalala ukutani ili usianguke, lol!
pole sana kwa kung'atwa na mbu

Asante dada mkubwa... mie huwa nina shughuli ya kuzunguka kitanda. Tena some times huwa najikuta nimetupilia shuka mbaaaalii.....
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimecheka sana.
Umenikumbusha maamuzi niliyofanya miaka michache iliyopita nilipoamua kurudi shule. Aisee, ile naonyeshwa chumba sikuamini kama ningefit kwenye kitanda kile. Nilijisikia kama nimelala kwenye meza. First few days nilikuwa naota nimeanguka. Lucky me sikuwa nahitajika kutumia neti ila kitu cha kwanza kukipiga picha ilikuwa kitanda.

Wewee nawe wa shoka!
Saahii watu twaenda lala wewe ndo waamka!
 
Hapo kwenye mwenza, usije ukawa unamuwekea miguu mwenzio eeh. Tutakufunga miguu na manati lol. Unalala kama vita!
Asante dada mkubwa... mie huwa nina shughuli ya kuzunguka kitanda. Tena some times huwa najikuta nimetupilia shuka mbaaaalii.....
 
Unamfahamu babake charminglady? Ni watu8 na ukimsemesha tu anaita "baba"!! watu8 anakuja spidi na gobore na measkron na mwiko! Utaweza?

Hanisumbui,huyo ni kaka yangu na mwalimu wangu wa kiswahili,we unafikiri vitenzi vifurukushi nimevijulia wapi..??Kwa maneno hayo basi nina hakika kabisa kuwa watu8 hawezi kunitokea na gobole hata siku moja....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom