CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #101
Nunua mito mingi ya kukukinga
Dah... katika ushauri woooote huu ndio ushauri wa kweli.... asante mkuu pokea like x10000
Nunua mito mingi ya kukukinga
Sasa mbona mnanipa Like tu halafu hamuongei..??Sikuwa na hizo taarifa mkuu,ina maana sasa hivi jimbo liko huru..??
Anakudanganya huyo,nilikuwa na tabia kama hiyo ila nilikuwa nalala na bibi yangu basi nikirusha mguu tu ananifinya.Kwa hiyo wewe naomba unitafute tu nikupe zoezi la kijeshi la kulala juu ya ukuta,na ninakuhakikishia kuwa ukishinda hilo basi hutasogea hata sentimita moja utakapolala....Dah... katika ushauri woooote huu ndio ushauri wa kweli.... asante mkuu pokea like x10000
Anakudanganya huyo,nilikuwa na tabia kama hiyo ila nilikuwa nalala na bibi yangu basi nikirusha mguu tu ananifinya.Kwa hiyo wewe naomba unitafute tu nikupe zoezi la kijeshi la kulala juu ya ukuta,na ninakuhakikishia kuwa ukishinda hilo basi hutasogea hata sentimita moja utakapolala....
Duh... mekaa PM mpaka mbu wamefurahi. Ndo nini kunichomesha mahindi wewe bibi??????
St. Paka Mweusi, asante kwa wimbo nimeupenda.
Mmmm sijajua kweli kuna mwanasiasa huku ana ushawishi
mmmmh sijui.
asante kwa kupenda ushauri wangu, hope utaufanyia kazi.Dah... katika ushauri woooote huu ndio ushauri wa kweli.... asante mkuu pokea like x10000
Mu-hali gani wana Chit chat???
Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.
Tatizo ni kwamba hata nilale katikati ya kitanda asubuhi nitakuta nimelala pembezoni kabisa karibu kuanguka ila chandarua ndo huwa kinanisaidia. Pia kama kamba ya chandarua ni legelege huwa najikuta nimejifunika chandarua yaani imekatika.....
Inanilazimu kulala na nightdress za mikono mirefu ili nising'atwe na mbu maana huko pembezoni mbu husherehekea sana kuning'ata.
Nifanyeje ili iwe nalala vizuri.????!
Ya kweli haya, mbona mimi nilisikia Filipo ndio alikuwa anaumwa na sio wewe...
Na mimi nilikuwa namaanisha huyohuyo...
Olewa!Mu-hali gani wana Chit chat???
Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.
Tatizo ni kwamba hata nilale katikati ya kitanda asubuhi nitakuta nimelala pembezoni kabisa karibu kuanguka ila chandarua ndo huwa kinanisaidia. Pia kama kamba ya chandarua ni legelege huwa najikuta nimejifunika chandarua yaani imekatika.....
Inanilazimu kulala na nightdress za mikono mirefu ili nising'atwe na mbu maana huko pembezoni mbu husherehekea sana kuning'ata.
Nifanyeje ili iwe nalala vizuri.????!
Nakusikiliza tu......we endeleza ukware wako kwa mawaif wa watu!