Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,136
- 13,258
Nimeshajua lengo lako kaka,unataka umwambukize mtoto wa watu ujauzito tu...
Umejuaje????
Nimeshajua lengo lako kaka,unataka umwambukize mtoto wa watu ujauzito tu...
We baba we..!!! Mwezi mzima si utamuacha umeshamuambukiza.......
Walishaachana mwaka 2011 mkuu, ulikuwa wapi?
Siondoki pale PM mpaka uje!
haya..nitakukuta muda sio mrefu
Mu-hali gani wana Chit chat???
Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.
Tatizo ni kwamba hata nilale katikati ya kitanda asubuhi nitakuta nimelala pembezoni kabisa karibu kuanguka ila chandarua ndo huwa kinanisaidia. Pia kama kamba ya chandarua ni legelege huwa najikuta nimejifunika chandarua yaani imekatika.....
Inanilazimu kulala na nightdress za mikono mirefu ili nising'atwe na mbu maana huko pembezoni mbu husherehekea sana kuning'ata.
Nifanyeje ili iwe nalala vizuri.????!
Kama hiyo ni ngumu tafuta charming man
Hebu tuwekee kapicha kwanza charminglady....
Sikuwa na hizo taarifa mkuu,ina maana sasa hivi jimbo liko huru..??
Nisaidie kutafuta wangu!
mtafute mwenza halafu awe analala ule upande unaoangukia ili awe anakurudisha