Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

pole my cousin ndo hivyo tena si unakumbuka ulivyokuwa mdogo sana ulikuwa unarukaruka kitandani pindi kabla hujalala au umesahau bestito? tena si unakumbuka ulivyokuwa unabiringika upandeupande mpaka nakuokota chini kwani minundu inakutoka kila siku ya muumba, sasa hiyo ndo tabia inaendelea hadi ukubwani my sis hivyo pole sana ila cha kufanya jitahidi ukilala lala upande upande na sio wima
Mu-hali gani wana Chit chat???

Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.

Tatizo ni kwamba hata nilale katikati ya kitanda asubuhi nitakuta nimelala pembezoni kabisa karibu kuanguka ila chandarua ndo huwa kinanisaidia. Pia kama kamba ya chandarua ni legelege huwa najikuta nimejifunika chandarua yaani imekatika.....

Inanilazimu kulala na nightdress za mikono mirefu ili nising'atwe na mbu maana huko pembezoni mbu husherehekea sana kuning'ata.

Nifanyeje ili iwe nalala vizuri.????!
 
mtafute mwenza halafu awe analala ule upande unaoangukia ili awe anakurudisha
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom