Naweka picha yangu ya ukweli kwenye avatar

Hongera sana.

Lakini isije kuwa kama ya yule Mbunge wetu ambae kaweka picha ya ukweli lakini nywele si za ukweli, za bandia.
Bila shaka ni Kigwangala huyo...

Smile kama umegonga Carlo Light kama Nape usiweke hiyo picha maana hatutaona ukweli.
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
nakuoa hapo hapao ..jaribu uone
 
unatafuta nini huko???
avatar50584_7.gif

hehehe si mali yangu nimeishika kwani dhambi?
 
Uamuzi wa busara...lakini kwenye red ndo umetuweka kwenye wakati mgumu...hata ukiweka hiyo picha ambayo unatuambia ni original itakuwa vigumu kuamini kutokana na angalizo kwenye red. ........mbuzi kwenye gunia

hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
 
mbona mi yangu ya ukweli?mwenzenu nshaiweka kitambo nyie bado mnajishauri?naweza anguka barabarani mwana jf mwenzangu akaniokota. Mia
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
Mbona hujaweka au ndiyo hiyo?
 
utakuwa umefanya jambo zuri sana!
Lakini itakufanya usiwe huru.
Acha upotoshaji kijana, hawa wafuatao wanatumia majina yao halisi na picha zao halisi na wapo huru:
1. John Mnyika
2. Regia Mtema
3. Kigwangwalah ( mbunge wa nzega )
4. Ben Saanane
5. Kitila Mkumbo
6. Nape Nnauye
7. Nghily (mgombea ubunge wa CHADEMA temeke 2010 na katibu mkuu mwanzilishi wa CCJ )
8. William Malecela @ New York, USA.
NA WENGINE WENGI TU, HAO NI KWA UCHACHE.
Au wewe mwenzetu unadhani kuwa huru ndio kuandika uharo hapa jamvini?
 
Le Mutuz Baharia...
 
Back
Top Bottom