Naweka picha yangu ya ukweli kwenye avatar

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
 
wewe umeniibia idea yangu! ila hakuna shida wewe weka tu....hata mie najaribu ku-upload picha rasmi naona kama server iko bussy sana kwa sasa.
 
huwa napata hofu sana siku mtu aweke picha yangu JF ama uturn maana kuna mijitu inaropoka!!!
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
sasa mbona jina smile halafu picha yako huja'smile? mimi natumia picha yangu halisi.
 
Ulishampata yule dingi wa 5o's and above?
 
mimi itakuwa ngumu sana ila kwa uamuzi wako kudos smile..
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo

anza na jina lako, ndipo ubandike picha yako
 
acha kutudanganya bwana weka ile original kutoka kijijini
 
unataka tuvisit profile yako??:nerd:
 
Wewe ndo unajua kufanya maamuzi magumu
unatafuta nini huko???
avatar50584_7.gif
 
Bora umeweka mwanawane, kama mimi kwenye avatar yangu ndiyo mimi mwenyewe mzee Mtambuzi.................
Sasa tumekuwa wawili, huo ni mwanzo mzuri.............
 
Hongera sana.

Lakini isije kuwa kama ya yule Mbunge wetu ambae kaweka picha ya ukweli lakini nywele si za ukweli, za bandia.
 
utakuwa umefanya jambo zuri sana!
Lakini itakufanya usiwe huru.
 
Back
Top Bottom