Naweka picha yangu ya ukweli kwenye avatar

hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo

hudaiwi wala nini! Mimi nimeshaweka yangu tayari. Hiyo ni halisi, na ilipigwa nikiwa nimelala kweli, darasani baada ya kushiba wali wa Mama Brenda pale Azania Sekondari, aliyefanya hiyo snapshot alikuwa Erick Gamba, my classmate!
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo

Jina tu umekosa ujasiri, seuze picha. Aliyedhamiria kuweka hatoi taarifa kwanza, ulitakiwa useme ,this z real image of me.!
 
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? Tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo

katika hili nalo unahitaji kushauriwa? Au kuungwa mkono? Nini kilikufanya usiweke toka mwanzo? Au ndio umemaliza madeni? Na uoga umekutoka?
 
huyo hapo kati ndio nduu mamaya originale, pamoja na ndugu zake. hapo tumetoka kumsindikiza bro kutoa mahari, aliyepiga shati la blue na tai.
 
Back
Top Bottom