Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,570
Reaction score
20,146
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
 
kuna mtu alishaandika hivyo humu si mda
kwa kweli na mimi leo nakiri
yote hayo kwenye heading nayafanya
and i have come to this conclusion .....itss very hard kunyooka.
cha kwanza
sitaongelea gym
ila naongeleaeo kupost
binafsi sikua na any profile ya jina langu wala picha zangu popote pale social media(hadi sasa sina jina langu in any social media) nina account za biashara tu
so this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni
napostig tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu
napataga dm ila hazishtui nazi ignore
jamani leo nimepata dm moja hivi
duuuh mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee
mkaka amenyooka yaani 10/10
alafu ni one of the big boys Africa
ila mtanzania
kwa kweli sikuwahi kumjua...am not soo much into social media zaidi ya jf
so ikabidi nimchek ..deep search huko google..mamaaa... A list kabisa
afu cha mwisho kabisa
Ana hela ...kwa anachofanya sikua tu namjua
please there is always a bigger fish....hata mkeo umfanyie nini
honga uwezavyo....kuna mtu mtu atakuzidia sehemu
hata kama mkeo kanyooka vip
vitu vingine unanasa

nashukuru Mungu nilishasema siwezi ishi na guilty ya kucheat....
bora ugali dagaaa kwenye amani
kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana🤣🤣🤣🤣
matako yako
 
Ivi inakuaje mtu unapagawa na picha za mtandaoni tena Instagram? Mimi binafsi kwenye izi social medias huwa napagawa na figure ya mwanamke maana vitu vingine vyote najua havina uhalisia. Ni wabongo wachache sana picha zao za mtandaoni zinakua zinashabihiana na uhalisia wao, sio wanaume sio wanawake.!!
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Ujumbe mzuri , Mwanamke wa kujipost post hovyo mimi simuwezi .

Nataka Mwanamke material ya Kijijini Hana mambo mengi na utoto wa kujipost mitandaoni kama Dada yake loose Nut
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Pia, nawe usifanye haya unayomkataza mkeo.
 
Back
Top Bottom