Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Mbona umechelewa sana? mie mwenzio nimehsaiweka yangu toka zamani.Nalog off
Nani huyo, Makinda? Lakini heri za bandia zinazoonekana kuliko zinazofichwa kwa hijabu, kwani hatujui ni za ukweli au bandia !!Hongera sana.
Lakini isije kuwa kama ya yule Mbunge wetu ambae kaweka picha ya ukweli lakini nywele si za ukweli, za bandia.
Una akili sana wewe 😛oa.Nalog offAnza na jina halisi afu ndi uje na picha
karembo!!!
Fungus!
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo
Leta nkusaidie kushika ukichoka!!!
Sijamtukana...nimemwambia ukweli. Akiharibu lazima tumnyooshe!Wewe mbona umeweka ya kwako ya ukweli na umekuwa huru tu hata kumtukana Mh mbunge wa Arusha jijini
hehe acha uongo wewe
haya bana! ila hii avatar yako inaashiria unahitaji kitu fulani hivi...sema usikike.
utakuwa umefanya jambo zuri sana!
Lakini itakufanya usiwe huru.