Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 595
Bi harusi mtarajiwa ndoa ikikaribia nione nna mchango wako .
Serious!
Serious!
We mentor tangazo la nn......si umeoa wewe!!! KhaAsee.....ngoja Na mimi niandike tangazo!!!
Hongera classmate...!
We mentor tangazo la nn......si umeoa wewe!!! Kha
nmekumis bibie....haraf nmemis kurud kuleHilo umepata mama...
Kazi kwako sasa
Ah wivu kidonda mwenzangu ukishiriki utakonda.Asante Valentina, zinatia raha kweli kama huna wivu.
Usikonde mrembo the door is open for you...nmekumis bibie....haraf nmemis kurud kule
Kumbe Wengi hamja olewa eeTeh jiandae yangu mwezi wa8
Myb...Kumbe Wengi hamja olewa ee
Mr Right kakaa tumboni miezi tisa bila kuwaona wazazi wake, ila wewe January tu ushawaona wazazi wake na ndoa ushaalika,nenda aste aste bibieHabari zenu wanajamvi,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.
Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.
Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.
Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.
Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.
Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
Pia wakumbushe kuwa leo kuna semina ya mwakasege pale eneo la chuo kikuu mlimani. wanaombewaga watu paleMwanamke akiona umri unasonga yani bado sekunde chache aguse 30 hlf mchumba hana...Anakuwa desperate sana Na ndoa...Ndo haya mnayoyaona!
Kwa kizaz chetu hiki cha sasa Kilichooza chunguzaneni japo kwa miez kadhaa!
Huwezi jua unaeingia nae kwenye ndoa ana mapungufu yake usiyoyajua na jipange jinsi ya kuendana nae sababu safari ya ndoa ni ndefu sana,msiwaone wazee wenu waliokutana tangu ujanani leo wapo pamoja zaidi ya miaka 50...Sio safari ndogo ati!!kuna mazito wamepitia!
ndoa ni popote saa yoyote wakati wowote muhimu kila mmoja awe na nia ya kuingia ktk ndoa na mwenzie yaan zipo 7bu nyingi sana zinazomfanya mtu aamue kuingia ktk ndoa na kujuana kwa muda mrefu siyo kigezo cha ndoa kudumuMmefanya haraka sana. Baada ya kujuana mngekaa japo kwa miezi sita then ndo mkaanza mipango ya ndoa. Kitu cha kudumu hakitaki papara
Hahha...Naona una amnesia baby...umenisahau kha!!!Hivi wewe ndo my wife!??
Well saidMwanamke akiona umri unasonga yani bado sekunde chache aguse 30 hlf mchumba hana...Anakuwa desperate sana Na ndoa...Ndo haya mnayoyaona!
Kwa kizaz chetu hiki cha sasa Kilichooza chunguzaneni japo kwa miez kadhaa!
Huwezi jua unaeingia nae kwenye ndoa ana mapungufu yake usiyoyajua na jipange jinsi ya kuendana nae sababu safari ya ndoa ni ndefu sana,msiwaone wazee wenu waliokutana tangu ujanani leo wapo pamoja zaidi ya miaka 50...Sio safari ndogo ati!!kuna mazito wamepitia!
Vizuri kuchukua muda kumjua mtu. Spend time. Toka naye na watu. Do things. Kuna vijitabia vyake inabidi uvijue na uamue kama unaweza kuvibadilisha au kuishi navyo.ndoa ni popote saa yoyote wakati wowote muhimu kila mmoja awe na nia ya kuingia ktk ndoa na mwenzie yaan zipo 7bu nyingi sana zinazomfanya mtu aamue kuingia ktk ndoa na kujuana kwa muda mrefu siyo kigezo cha ndoa kudumu
ili ndoa idumu inahitaji jambo moja muhimu sana nalo ni UAMINIFU likifuatiwa na UVUMILIVU
tabia ya mtu kiundani huwezi jua katika uchumba au urafiki ambao mnaita kuchunguzana
utawezaje kumchunguza mpenzio ambae anaishi tabata wewe ukiwa unaishi tegeta ?
ndoa ndo hudhiirisha tabia ya mtu
unachotakiwa ukiwa ktk mipango ya ndoa ni kumuomba mungu ampe mwenzio uaminifu na uvumilivu na ukiingia ujitahidi uwe mwaminifu na uvumilivu 7bu hapo ndo utajua tabia halisi ya mwenzako sasa ikiwa kinyume UVUMILIVU ndo huitajika