Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

Hongera ila naona imekuwa fasta sana.
 
Habr zenu wanajamvi!

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanajf wote, zaid sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.

Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
Binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lkn ndivyo ilivyokuwa.

Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahali yote imelipwa, kweli Nina furaha na a mani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.

Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na jpili ya tareh 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.

Tarh ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza..ntaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.

Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka. Usichoke wala kukata tamaa.
una ufahamu ukitaka kufunga ndoa tangazo linakaa muda gani?
 
Back
Top Bottom